MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA
Matokeo Simba Vs Stellenbosch Fc 20 April 2025
Leo tarehe 20 April 2025 klabu ya Simba inaikalibisha klabu ya Stellenbosch Fc kutokea South Afrka katika mchezo wao wa kwanza wa nusu fainali za kombe la shirikisho Afrka (CAF Confederation CUP) 2024/2025. Mchezo huu utafanyika kuanzia mjara ya saa16:00 za jioni katika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Kuelekea mchezo huu Kiswa24 Blog tutakua live kukupa matokeo na matukio yote yakatakayokua yakijitokeza katika mchezo huu kuanzi kipindi cha kwanza hadi cha pili cxha mchezo.Hivyo basi usiache kutembelea page hii mara kwa mara pindi mpira utakapoana ili kujua nini kinaendelea wakati wa mchezo huu.