MATOKEO Coastal Union vs Simba SC 01/03/2025
Leo tarehe 1 Morch 2025 ligi kuu ya NBC Tanzania bara inatarajiwa kuendelea kutimua vumbi huku klabu ya Coastal Union ikiwakaribisha Simba Sc mkoani Tanga.
Mchi hii ya Coastal Union vs Simba SC inataeajiwa kuchezwa katika mkoa wa Arusha huku Coastal wakiwa ndio wenyeji wa mchezo, mchezo utakaopigwa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha kuanzia majira ya saa 10:00 kamili za jioni.
Kuelekea mchezo huu wa Coastal Union vs Simba Sc mchezo wa Roundi ya 22 sisi Kisiw24 Blog tutakuletea matukio yote ya muhimu yakayoweza kujitika wakati wa mchezo huu mara tu utakapoanza.
Live Coast Union vs Simba Sc Leo March 1,2025
Hapa chini ni matukio na matokeo ya mchezo wa Coastal Union vs Simba SC leo 1 March 2025 mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanznaia bara roundi ya 22 unaofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
Kipindi cha Kwanza
Kipindi cha 2
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League 2024/2025
2. Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025
3. Ratiba ya Simba SC Robo Fainali Kombe la Shirikisho CAF 2024/2025