Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025

NAFASI za Kazi Kutoka Vodacom Tanzania

December 6, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Ajira»PDF: MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali 18 July 2025
Ajira

PDF: MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali 18 July 2025

Kisiwa24By Kisiwa24July 18, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-09-2024 na tarehe 28-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali 18 July 2025

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MAJINA ya Walioitwa Kazini Taasisi Mbalimbali 18 July 2025

Ili kuweza kusoma majina yote ya walioitwa kazini kupitia utumishi tafdhari bonyeza linki hapo chini

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleVitu Vya Kufanya Ukiwa Na Mpenzi Wako ili Kuimarisha Mahusiano
Next Article Vitu Vya Kufanya ili Mpenzi Wako Akupende
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025
Ajira

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025
Ajira

NAFASI za Kazi Kutoka Vodacom Tanzania

December 6, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs
  • NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii
  • NAFASI za Kazi Kutoka Vodacom Tanzania
  • NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali
  • Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngara

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

December 3, 2025284 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025260 Views

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025253 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.