Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Ajira»MAJINA ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam Mei 2025
Ajira

MAJINA ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam Mei 2025

Kisiwa24By Kisiwa24May 30, 2025No Comments1 Min Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kinapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 15 hadi 17 Mei, 2025 kuwa, majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

MAJINA ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam Mei 2025

Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jengo la Utawala, Ofisi ya Masjala, Chumba Na. 315 siku ya Jumatatu, tarehe 2 Juni, 2025 kuanzia saa tatu kamili asubuhi, wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili ziweze kuhakikiwa
kabla ya kupewa barua za ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili, watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa.
Nyaraka za kuwasilisha ni kama ifuatavyo:

(i) Vyeti halisi (Original Certificates and Transcripts) na nakala mbili za vyeti hivyo ambazo zimethibitishwa na Mamlaka za kisheria (certified by Advocate/Magistrate) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea;
(ii) Cheti cha kuzaliwa;
(iii) Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA); na
(iv) Picha ndogo nne za rangi (four coloured passport size photographs)

  • BONYEZA HAPA KUPAKUA PDF FILE

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleMajina ya Walioitwa Kazini Halmashauri Ya Manispaa Ya Kinondoni Na Temeke 30 Mei 2025
Next Article PDF ya Majina Walioitwa Kwenye Usaili wa Mahojiano TANROADS
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025
Ajira

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025
Ajira

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 20251,128 Views

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025787 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025446 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.