Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa

December 9, 2025

Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs Majina ya Nyongeza

December 9, 2025

Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Umma

December 9, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Ajira»MAJINA Walioitwa Kazini UWALIMU na Kada Mbalimbali April 2025
Ajira

MAJINA Walioitwa Kazini UWALIMU na Kada Mbalimbali April 2025

Kisiwa24By Kisiwa24April 6, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

MAJINA Walioitwa Kazini UWALIMU na Kada Mbalimbali April 2025

BONYA HAPA KUTAZAMA MAJINA YOTE YA WALIMU (PDF)

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-09-2024 na tarehe 24-02-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwenye Majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo hazitachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MUHIMU:

Wanaokuja kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi wanapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi; Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi, Kitambulisho cha Mpiga kura au Leseni ya Udereva.

BONYA HAPA KUPAKUA TANGAO KAMILI (PDF)

Kwa Matangazo ya Ajira Mpya kila Siku BOFYA HAPA

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleJinsi ya Kumpandisha Hisia Mwanaume Kabla ya Tendo
Next Article Nafasi 160 za Kazi Zilizotangazwa Mwezi April 2025
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa

December 9, 2025
Ajira

Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs Majina ya Nyongeza

December 9, 2025
Ajira

Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Umma

December 9, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa
  • Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs Majina ya Nyongeza
  • Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Umma
  • MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025
  • Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025735 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025423 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025365 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.