Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili INEC 2025 Mkoa wa Lindi | Orodha ya Majina ya Usaili Kusimamia Uchaguzi 2025 Mkoa wa Lindi
Mkoa wa Lindi ni moja ya mikoa ya Tanzania iliyoko katika ukanda wa kusini mwa nchi. Makao makuu ya mkoa huu ni mji wa Lindi. Mkoa huu unapakana na:
- Kaskazini: Mkoa wa Pwani
- Kaskazini Magharibi: Mkoa wa Morogoro
- Magharibi: Mkoa wa Ruvuma
- Kusini: Mkoa wa Mtwara
- Mashariki: Bahari ya Hindi
Hapa Chini ni PDF ya majina ya walioitwa kwenye usaili wa NEC kusimamia uchaguzi Mkoa wa Lindi 2025
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
