Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa

December 9, 2025

Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs Majina ya Nyongeza

December 9, 2025

Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Umma

December 9, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Ajira»PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye USAILI Utumishi Leo 2025
Ajira

PDF: MAJINA ya Walioitwa Kwenye USAILI Utumishi Leo 2025

Kisiwa24By Kisiwa24September 30, 2025No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

MAJINA YA walioitwa KWENYE USAILI Utumishi 2025

MAJINA YA walioitwaKWENYE USAILI Utumishi Leo 2025, Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi na Ajira Portal 2025, Walioitwa kwenye Usaili Utumishi, majina walioitwa usaili ajira portal. Karibu katika ukrasa huu wenye PDF za majina ya walioitwa kwenye usaili Utumishi leo, wiki hii na mezi huu. Hapa utaweza kupata updates za majina kila siku waliotwa kwenye interview Utumishi au Names call  for interview UTUMISHI.

Je! wewe ni miongoni mwa waliotuma maombi kupitia ajira portal an unahangaika jinsi ya kujua kama umeitwa kwenye usaili kulingana na kazi uliyoitumia maombi basi usijali kwenye kurasa hii ya kisiwa24 utaweza kusoma majina ya wote walioitwa kwenye usaili leo, wiki hii na mwezi huu 2025 katika mfumo wa PDF Document.

Hii ni PDF Document iliyo beba orodha wa majina ya waliotuma maombi ya ajira ili kuweza kupitia mchakato wa usaili kabla ya matokeo ya waliochaguliwa kuitwa kazini kutangazwa.

Soma Pia;

  • MAMBO ya Kuzingatia Unapoitwa Kwenye Usaili Ajira Portal
  • Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kwenye Usaili Utumishi

MAJINA YA walioitwa KWENYE USAILI Utumishi 2025

Hapa chini utaweza kupata PDF Document zenye orodha ya majina ya walioitwa kwenye Usaili UTUMISHI. Tumeweka majina kulingana na Tangazo la kuitwa kwenye usaili kama lilivyotolewa na UTUMISHI

Bonyeza kwenye kiungo unachohitaji kuangalia majina yake kulingana na wakati uliotuma maombi hapo chini (Call for Interview UTUMISHI)

Majina Walioitwa Kwenye Usaili Utumishi (Call for Interview UTUMISHI) September 2025

  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ULIOFANYIKA TAREHE 29/09/2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA – MAJINA YA NYONGEZA 27-09-2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA MAJINA YA NYONGEZA 24-09-2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 22-09-2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MDAs & LGAs 22-09-2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 17-09-2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 17-09-2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 17-09-2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 17-09-2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHALINZE 02-09-2025

Kuhusu Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) ni chombo cha serikali na hadhi ya Idara ya kujitegemea iliyoanzishwa hasa ili kuwezesha mchakato wa kuajiri wa wafanyakazi katika taasisi mbalimbali za Umma. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ilianzishwa na Sheria ya Utumishi wa Umma ya Nambari ya 8 0 ya 2002.

Maono ya Sekretarieti ya Ajira

  • Kuwa kituo cha ubora katika huduma ya umma kuajiri katika kanda.

Dira Kuu za Sekretarieti ya Ajira (PSRS)

Kufanya kuajiri watumishi wa umma kwa kutumia mbinu za kisasa kwa kuzingatia kanuni za usawa, uwazi na sifa na pia kutoa ushauri kwa waajiri juu ya maswala yanayohusiana na ajira.

Kazi Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

  1. Kuajiri wafanyakazi kwenye taasisi za Umma,Jukumu kuu la PSRS ni kuwezesha kuajiri katika Huduma ya Umma.
  2. Kutafuta wataalamu mbalimbali wenye ujuzi maalum na kuandaa database kwa wataalamu hao kwa ajili ya kuajiri rahisi;
  3. Kurejista wahitimu na wataalamu kwa madhumuni ya urahisi wa rejea ya kujaza nafasi tupu;
  4. Kutangaza nafasi za kazi zinazotokea katika huduma ya umma;
  5. Kuhusisha wataalam husika kwa madhumuni ya kufanya mahojiano
  6. Kushauri waajiri juu ya masuala mbalimbali yanayohusiana na kuajiri, na
  7. Kufanya kitendo kingine chochote au kitu ambacho kinaweza kuelekezwa na Waziri anayehusika na Huduma ya Umma.
Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleNAFASI za Kazi Kutoka Tanzania Youth Alliance (TAYOA)
Next Article NAFASI za Kazi Zilizotangazwa Leo UTUMISHI October 2025
Kisiwa24

Related Posts

Ajira

Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa

December 9, 2025
Ajira

Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs Majina ya Nyongeza

December 9, 2025
Ajira

Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Umma

December 9, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • Nafasi za Kazi Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Mkwawa
  • Walioitwa kwenye Usaili MDAs & LGAs Majina ya Nyongeza
  • Nafasi za Kazi Taasisi Mbalimbali za Umma
  • MATOKEO Simba vs Azam FC 07 December 2025
  • Kikosi cha Simba vs Azam Leo 07/12/2025

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025767 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025430 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025381 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.