Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA
Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA

PDF: MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali 14 July 2025

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on July 14, 2025 0 Comments

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo cha Ardhi Morogoro (ARIMO), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi (TAFIRI), Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), Ofisi ya Taifa ya Mashtaka (NPS), Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE), Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu wa Elimu ya Juu (HESLB), Wizara ya Maji, Tume ya Madini (TMC), Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA), Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), MDAs & LGAs, Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 23-07-2025 hadi 12-08-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali 14 July 2025

1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama ilivyooneshwa kwenye tangazo hili muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa kwa kila Kada.

2. Kila msailiwa anatakiwa kufika kwenye eneo la usaili akiwa amevaa Barakoa (Mask)

3. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;

4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria, Leseni ya Udereva au barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka.

5. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha kuzaliwa,kidato cha IV, VI, Astashahada, Stashahada,Stashahada ya Juu, Shahada na kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji.

6. Wasailiwa watakaowasilisha Testimonials, Provisional Results, Statement of results, hatiza matokeo za kidato cha IV na VI (form V and form VI results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA NA USAILI.

7. Kila msailiwa atajigharamia kwa Chakula, Usafiri na Malazi.

8. Kila Msailiwa azingatie tarehe, muda na mahali alipopangiwa kufanyia usaili.

9. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (kama TCU, NACTVET au NECTA)

10. Waombaji kazi ambao hawajaona majina yao kwenye tangazo hili wanapaswa kuingia kwenye akaunti zao za Ajira Portal na kuona sababu za kutokuitwa kwao ili wasikose fursa wakati mwingine.

11. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za kufanyia kazi.

12. Wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wahakikishe wanaingia kwenye akaunti zao na kunakili namba ya mtihani kwa kuwa namba hizo hazitatolewa iku ya usaili

13. Wasailiwa ambao majina yao yanatofautiana katika nyaraka zao wanapaswa kuwasilisha Hati ya Kiapo cha Kubadili Jina (Deed Poll) iliyosajiliwa na Wizara ya Ardhi.

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili Taasisi Mbalimbali 14 July 2025

Ili kuweza kutizama listi ya majina ya waliweza kuitwa kwenye usili tafadhari bonyeza linki hapo chini

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA
Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA
error: Content is protected !!