Close Menu
  • Home

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngara

December 3, 2025

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

December 3, 2025

1xBet na Paris Saint-Germain Yaongeza Ushirikiano Kwa Misimu 3 Zaidi

October 15, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Nafasi Za Kazi Tanzania 2025»PDF: MAJINA Walioitwa Kazini Wizara ya Afya Kupitia UTUMISHI
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

PDF: MAJINA Walioitwa Kazini Wizara ya Afya Kupitia UTUMISHI

Kisiwa24By Kisiwa24June 13, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 06-05-2025 na tarehe 07-05-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana

MAJINA Walioitwa Kazini Wizara ya Afya Kupitia UTUMISHI

Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katika vituo vya kazi walivyopangiwa.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

MAJINA Walioitwa Kazini Wizara ya Afya Kupitia UTUMISHII

Ili kuweza kuona majina ya waliweza kuitwa kazini wizara ya Afya kupitia utumishi tafadhari bonyeza linki hapo chini

  • BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticlePDF: MAJINA ya Walioitwa Kazini Hospitali ya Taifa Muhimbili
Next Article NAFASI za Kazi Longido District Council
Kisiwa24

Related Posts

Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngara

December 3, 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

December 3, 2025
Nafasi Za Kazi Tanzania 2025

Majina ya Usaili kusimamia Uchaguzi NEC 2025 – Jimbo la Moshi Vijijini

October 8, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngara
  • Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha
  • 1xBet na Paris Saint-Germain Yaongeza Ushirikiano Kwa Misimu 3 Zaidi
  • Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker
  • Jinsi ya Kuwasha Rice Cooker

Recent Comments

  1. E Qambayoya on Orodha ya Maswali ya Usaili Nafasi ya Usimamizi Uchaguzi Mkuu 2025
  2. Kasubi on Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili kusimamia Uchaguzi NEC 2025
  3. Kisiwa24 on NAFASI 320 za Kazi Kutoka Akiba Commercial Bank PLC
  4. MTIE MOHAMED on NAFASI 320 za Kazi Kutoka Akiba Commercial Bank PLC
  5. Princepius on Namba za Mabinti Wanaotafuta Wachumba 2025
Demo
Top Posts

Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

December 3, 202585 Views

Maswali ya Interview Ajira za Zimamoto 2025

March 31, 202520 Views

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 202515 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.

Powered by
...
►
Necessary cookies enable essential site features like secure log-ins and consent preference adjustments. They do not store personal data.
None
►
Functional cookies support features like content sharing on social media, collecting feedback, and enabling third-party tools.
None
►
Analytical cookies track visitor interactions, providing insights on metrics like visitor count, bounce rate, and traffic sources.
None
►
Advertisement cookies deliver personalized ads based on your previous visits and analyze the effectiveness of ad campaigns.
None
►
Unclassified cookies are cookies that we are in the process of classifying, together with the providers of individual cookies.
None
Powered by