Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»TAMISEMI Selection»Waliochaguliwa Kijiunga Kidato Cha Tano Arusha 2025
TAMISEMI Selection

Waliochaguliwa Kijiunga Kidato Cha Tano Arusha 2025

Kisiwa24By Kisiwa24June 6, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

KUTAZAMA MAJINA YOTE BONYEZA HAPA

Waliochaguliwa Kidato cha Tano Arusha

Kila mwaka, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia hutangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano katika shule mbalimbali za sekondari kote nchini Tanzania. Miongoni mwa mikoa inayopokea wanafunzi wengi kutokana na matokeo mazuri ya mitihani ni Mkoa wa Arusha.

Orodha Kamili ya Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano Arusha 2025

Wanafunzi waliopata nafasi ya kujiunga na kidato cha tano mkoani Arusha ni kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania, wakichaguliwa kulingana na ufaulu wao katika Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne (CSEE). Hapa chini tumekuandalia muhtasari wa jinsi ya kupata majina ya waliochaguliwa, shule walizopangiwa, pamoja na hatua za kuchukua baada ya uchaguzi huo.

Jinsi ya Kuangalia Majina Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Mkoa wa Arusha

Ili kuangalia kama mwanafunzi amechaguliwa kujiunga na moja ya shule za sekondari mkoani Arusha, fuata hatua hizi:

  1. Tembelea tovuti rasmi ya TAMISEMI: https://selform.tamisemi.go.tz

  2. Bonyeza sehemu iliyoandikwa “Form Five Selection 2025”

  3. Chagua mkoa wa Arusha

  4. Tafuta jina la shule au mwanafunzi katika orodha iliyopo

  5. Bonyeza jina la shule kupata orodha kamili ya wanafunzi waliopangiwa hapo

Kwa urahisi zaidi, unaweza kutumia Ctrl + F kutafuta jina la mwanafunzi moja kwa moja.

Hapa chini ni listi ya ya Wilaya na shule itakusaidia kutazama jina lako kwa urahisi zaidi bonyeza kwenye wilaya uliosoma kutazama jina lako;

ARUSHA CC

ARUSHA DC

KARATU DC

LONGIDO DC

MERU DC

MONDULI DC

NGORONGORO DC

BONYEZA HAPA KUTAZAMA MAJINA YOTE

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleTAMISEMI: Form Five Selection 2025/2026
Next Article Waliochaguliwa Kujiunga Kidato Cha Tano Dar es Salaam 2025
Kisiwa24

Related Posts

TAMISEMI Selection

MAJINA Waliochaguliwa Kujiunga Kidato Cha Tano Kigoma 2025

June 6, 2025
TAMISEMI Selection

MAJINA Waliochaguliwa Kujiunga Kidato Cha Tano Katavi 2025

June 6, 2025
TAMISEMI Selection

MAJINA Waliochaguliwa Kujiunga Kidato Cha Tano Kagera 2025/2026

June 6, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025780 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025442 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025421 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.