Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA
Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA

Walioitwa Kazini Serikalini, UTUMISHI Call for Work July 2025

Filed in Nafasi Za Kazi Tanzania 2025, Usaili by on July 16, 2025 0 Comments

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati taasisi mbalimblai kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Majina ya Walioitwa Kazini UTUMISHI

Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana

Wasailiwa wote waliofaulu usaili na kupangiwa vituo vya kazi, BARUA zao za kupangiwa vituo vya kazi watazipata kupitia AKAUNTI zao za Ajira Portal kwenye sehemu ya My Applications, hivyo watapaswa kupakua na kutoa nakala (Download and Print) barua hizo na Kwenda nazo kuripoti katikavituo vya kazi walivyopangiwa.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

Majina Ya Walioitwa Kazini Serikalini (Utumishi)

Hapa chini ni PDF File za majina ya walioitwa kazini kupitia utumishi, ili kuweza kusoma majina tafadhari bonyeza kwenye kila tangazo la kuitwa kazini  hapo chini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA
Kwa Video za Connection za Wakubwa Tu (18+) BOFYA HAPA
error: Content is protected !!