Mafunzo Ya Usalama Wa Taifa Tanzania (NDC)
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Habari ya wakati huu mpenzi mfuatiliaji wa blog ya Habarika24. Katika makala hii leo tutaenda angazia juu ya kitengo cha usalama wa taifa hasa juu ya mafunzo yatolewayo na usalama wa taifa.
Mafunzo haya ya usalama wa taifa ni mafunzo muhimu sana yatolewayo na chuo cha Taifa cha ulinzi (NDC)

Mafunzo Ya Usalama Wa Taifa
Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC)- National Development Coperation, Ni taasisi ya kiserikali ambayo inatoa mafunzo kwa maafisa na viongozi mbali mbali kwa lengo la kuimalisha ulinzi na usalama wa Taifa.
Umuhimu Wa Mafunzo ya Usalama wa Taifa
Idara ya Uongozi;
Upande wa uongozi mafunzo haya yanaumuhimu sana kwani huwajenga viongozi kua bora na wenye kufuata sheria kwa maslai ya usalama wa taifa letu.Hapa mafunzo haya huwagusa zaidi maafisa na viongozi wa kiusalama hivyo hujenga uwezo wao katika kuimalisha usalama wa nchi.
Ngazi ya Kimataifa
Katika kiwango cha kimataifa mafunzo haya pia ni muhimu kwa sawala la kiusalama kutoka nje ya mipaka ya nchi yetu kwani huwapa mwongozo viongozi na maafisa walioshiki mafunzo hayo utaalamu wa hali ya juu kuhusu maswala ya kiusalama pale yanapofikia kiwango cha kimataifa, jinsi na namna ya kukabiliana na changamoto zozote zile za kiusalama katika kiwango cha kimataifa.
Mfano ulinzi na usalama wa viongozi wa nchi wanapokua nje ya mipaka ya nchi ya Tanzania.
Ngazi ya Kitaaluma
Pia katika upande wa taaluma mafunzo haya huwafanya maafisa washiriki kuweza kuongeza na kupanua ujuzi wao dhidi ya kukabiliana na maswala mbalimbali yanayo husu usalama wa nchi ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Muundo wa Mafunzo/ Kozi Zitolewazo na Chuo Cha Taifa Cha Ilinzi
Shahada ya Uzamili na Diploma ya Usalama
Kutayarisha maafisa wakuu waliochaguliwa wa vikosi vya jeshi, huduma za kiraia na wale kutoka nchi washirika kwa kuchukua jukumu la juu katika mwelekeo na usimamizi wa usalama wa kitaifa na mkakati.
Mafunzo ya Kimkakati
Mafunzo ya kimkakati ni mafunzo maalumu yanayotolewa kwa viongozi na maafisa ulama kwalengo la kuwandaa kwa majukumu ya juu ya kiusalama katika nchi.
Uchambuzi wa Usalama wa Kitaifa
Mafunzo haya hutolewa kwa lengo la kuwapa maafisa usalama uwezo wa kupitia na kuifahamu kwa udani hali ya usalama wa nchi iwe ndani au hata nje ya mipaka ya nchi.
Usalama wa Kimataifa
Haya pia ni mafunzo wanayopatiwa maafisa na viongozi wa usalama ili kuwa na uwezo wa kushugulikia maswala ya kimataifa nje ya mipaka ya Tanzania.
Wavuti Za Kusoma zaidi;
Ili kupata maalifa zaidi kuhusu mafunzo ya usalama wa taifa basi unaweza kutumia linki hizi hapa chini kujifunza zaidi;
1. Wavuti ya chuo cha Taifa cha Ulinzi
2. Makala ya Chuo Cha Ulinzi Cha Taifa Tanzania: Chuo Bora Katika Ulinzi
3. WikiPedia – Idara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)
Mapendekezo ya Mhariri;
1. LATRA: Nauli Mpya Za Mabasi Ya Mikoani
3. Mshahara wa Rais wa Tanzania
4. Mishahara ya Viongozi wa Serikali
5. Majukumu ya Jaji Mkuu wa Tanzania
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku