MABADILIKO ya Ukumbi Wa Kufanyia Usaili Wa Mchujo Kada Ya Msaidizi Wa Kumbukumbu Halmashauri Ya Manispaa Ya Temeke
Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Temeke anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili kwa kada ya Msaidizi wa Kumbukumbu II kuwa kuna mabadiliko ya ukumbi wa kufanyia usaili.
Leave a Reply