MABADILIKO ya Ratiba Ya Usaili Kada Ya Transcriber II Sign Languages Interpreter 04 June 2025
Wasailiwa wote wa kada ya Transcriber II Sign Language Interpreter mnataarifa kuwa kutakuwa na usaili wa vitendo utakaofanyika tarehe 05 Juni,2025 na usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 06 Juni,2025.