Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wote waliopangiwa kufanya usaili wa mahojiano tarehe 04 Juni,2025 katika Majengo ya Dkt.Asha Rose Migiro-Dodoma kuwa kuna mabadiliko ya eneo la usaili huo.
MABADILIKO ya Eneo La Usaili Wa Mahojiano Wa Tarehe 04 Juni 2025
Kwa matangazo ya Ajira Mpya UTUMISHI Bonyeza HAPA