
MATANGAZO YA AJIRA
BOFYA HAPA
Katibu wa Ofisi ya Rais,Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili wa mahojiano kwa kada zote ambazo mwajiri wake ni Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuwa kuna mabadiliko ya eneo la kufanyia usaili huo.
Aidha,Kwa kada ambazo usaili wa Mahojiano umepangwa kufanyika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira Dodoma (Planning Officer, Office Assistant na Receptionist ) hakuna mabadiliko ya eneo la usaili na ratiba yao itabaki kama ilivyo.
Leave a Reply