Mabadiliko ya Eneo la Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kyela
Wasailiwa wa kada ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II na Msaidizi wa Maendeleo ya Jamii Daraja la II mnajulishwa kuwa eneo la usaili limebadilishwa kutoka ukumbi wa Bomani kwenda Shule ya sekondari Kyela.
Mabadiliko ya Eneo la Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Kyela
Ili kuweza kusoma mabadiliko ya usaili huu tafadhari bonyeza linki hapo chini