MABADILIKO Eneo La Usaili Wa Mahojiano Afisa Utalii Dar es Salaam

Kwa AJIRA Mpya Kila Siku (BOFYA HAPA)

_____________________________________

Waombaji kazi wa kada  Afisa Utalii Daraja la II (Tourism Officer II) waliopangwa kufanya usaili wa mahojiano katika ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni Dar es salaam kuwa, sasa usaili huo utafanyika katika ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo jengo la Utumishi Kivukoni Dar es salaam tarehe 12 Juni,2025.

MABADILIKO Eneo La Usaili Wa Mahojiano Afisa Utalii Dar es Salaam

MABADILIKO Eneo La Usaili Wa Mahojiano Afisa Utalii Dar es Salaam

Ili kusoma pdf ya madadilio hayo ya eneo la usaili wa mahojiano kwa kada  Afisa Utalii Daraja la II (Tourism Officer II) mkoa wa Dar es Salaam tafadhari bonyeza linki hapo chini;

Leave your thoughts

error: Content is protected !!