Listi ya Wachezaji Waliocheza Mechi Nyingi zaidi Timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars), Habari mwanamichezo toka tanzania,kweye makala hii tutaenda kukuonyesha wachezaji 4 amabo wamecheza mechi nyingi zaidi wakiwa na timu ya Taifa stars, timu ya taifa ya Tanzania.
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars hivi karibuni imekua na mafanikio ya kutosha hata kiufikia kutoa wachezaji wa Tanzania kwenda kucheza klabu kubwa nje ya Tanzania na hata vilabu vikubwa vilivyoko ndani ya Tanzania.
Ubora wa baadhi ya wachezaji wa vilabu kutoka nchini Tanzania haupimwi kwa juhudi zao binafsi ndani ya vilabu wanavyo chezea. Tanzania imeshuhudia uimala wa ligi yake kuu ya NBC kwa kuwa na wachezaji wazawa wenye uwezo lakini pia wengine hutoka hata nje ya mipaka ya Tanzania kuchezea vilabu vikubwa ni pamoja na ushiriki wao wa mara kwa mara kwenye timu ya taifa ya Taifa stars.
Mchezaji mwenye uwezo uwanjani pia hupimwa kwa ushiriki wake wa mara kwa mara katika timu yake ya Taifa, mfano mchezaji kama vile Simon Msuva na Mbwana Samatta, Ubora waliokua nao kwa sasa pia huchagizwa na uwepo wao katika kikosi cha timu ya Taifa Taifa Stars.
Listi ya Wachezaji Waliocheza Mechi Nyingi zaidi Timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars)
Hapa chini ni orodha ya wachezaji 4 waliocheza mechi nyingi zaidi katika timu ya Taifa Tanzania (Tanzania)
1. Erasto Nyoni
– Nyoni ndiye mchezaji anayeshikilia rekodi ya kua mchezaji aliyeshiriki kucheza mechi nyingi zaidi katika kuitumikia timu ya taifa ya Taifa Stars. Yoni amecheza jumla ya michezo 107, akijulikana kama mchezaji mwenye nidhamu kubwa pindi alipokua na timu yaTaifa stars
Taarifa Binafsi
- Nyoni kazaliwa 7 Mei 1988
- Mahari – Dar es Salaam
- Nafasi Uwanjani- Kiungo Mkabaji
2. Mrisho Ngassa
Ngassa anashikilia nafasi ya pili kuwa mchezaji aliyeshiriki kuitumikia timu ya taifa ya Tanzania kwa kucheza michezo mingi, Mrisho Ngasa akiwa na Taifa Stars amecheja jumla ya mechi 1oo. Akiwa na Taifa Stars Ngassa aliweza kuwa na mafanikio makubwa hata kufikia kualikwa na Timu ya West United iliyoko uingereza kwa majaribio.
Taarifa Binafsi
- Tarehe ye Kuzaili – 5 May 1989
- Mahari pa Kuzaliwa – Mwanza
- Nafasi Uwanjani – Winga, Fowadi
3. Kelvin Yondani
Utakapo taja mafanikio ya timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars hasa upande wa nafasi ya ulizi huwezi kuacha kumtaja mchezaji aliyekua na kipaji cheke Kelvin Yondani. Yondani anakua ni mchezaji wa 3 katika orodha ya wachezaji waliocheza mechi nyingi zaidi katika timu ya Taifa Stars huku akiwa amecheza mechi 90 kama Mlizi wa kati (centre-back Decender)
Taarifa Binafsi
- Tarehe ye Kuzaili – 9 Oct 1984
- Mahari pa Kuzaliwa – Mwanza
- Nafasi Uwanjani – Mlizi wa Kati (centre-back Decender)
4. Simon Msuva
Uwepo wake kwenye timu ya Taifa la Tanzania ni tumaini la watanzania wengi kutokana na uwezo wake, Simon Msuva ametokea kuwa mchezaji nyota kimataifa kutokana na uwezo wake pindi awapo na timu ya taifa Taifa Stars, Huyu ndiye kipenzi cha watanzania walio wengi ukiachilia mbali Mbwana Samatta. Msuva anaingia kwenye orodha ya wachezaji wa kitanzania ambao wamecheza mechi nyingi ndani ya timu ya Taifa ya Taifa Stars huku akiwa amecheza michezo 94.
Idadi hii ya mechi alizocheza Simon Msuva haijakomea hapo kwani hadi sasa bado anashiliki katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania na nimiongoni mwa wachezaji hatari zaidi ndani ya kikosi cha taifa stars.
Taarifa Binafsi
- Tarehe ye Kuzaili – 9 Oct 1984
- Mahari pa Kuzaliwa – Mwanza
- Nafasi Uwanjani – Mlizi wa Kati (centre-back Decender)
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Msimamo wa Kundi la Simba Sc Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
2. Msimamo wa Kundi la Yanga Club Bingwa Afrika 2024/2025
3. Ratiba Ya Mechi Zote Za Yanga Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025