Ligi ya NBC Tanzania Bara Nafasi 4 Kwa Ubora Afrika

Ligi ya NBC Tanzania Bara Nafasi 4 Kwa Ubora Afrika

Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limeitangaza @ligikuu ya Tanzania (NBC Premier League) kuwa Ligi ya nne (4) kwa ubora barani Afrika na ya 57 duniani kwa mwaka 2024.

Ligi hiyo imepanda kwa nafasi mbili (2) kutoka nafasi ya sita (6) mwaka 2023 ikizipiku Ligi za Afrika Kusini na Tunisia

Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limeitangaza @ligikuu ya Tanzania (NBC Premier League) kuwa Ligi ya nne (4) kwa ubora barani Afrika na ya 57 duniani kwa mwaka 2024.Ligi hiyo imep-1.webp [webp-to-jpg output image]

error: Content is protected !!