Notes za Kiswahili Kidato cha Tano Mada Zote PDF Free Download,Notes za Kiswahili Form five 5, form five kiswahili notes free download, Habari karibu katika makala hii fupi inayokwenda kukupa mwongo wa jinsi ya kupakua notes za somo la kiswahili kwa kidato cha 5 mada zote,
Ikiwa wewe ni mwanafunzi wa kidato cha tano au mlezi wa mwanafunzi wa kidato cha tano na unatafuta jinsi ya kudownload notes za kiswahili kidato cha tano mada zote basi usijali kwani katika makala hii utapata nwongozo wa kuweza kupakua naotes hizo kwa mfumo wa PDF File.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Mada za Kiswahili kwa Kidato Cha 5
Somo la kiswahili kwa kidato cha Tano linajuml ya mada 9, mada hizo ni pamoja na;
- Matumizi Ya Sarufi
- Maendeleo Ya Kiswahili
- Maendeleo Ya Fasihi Simulizi
- Fasihi Kwa Ujumla Na Nadharia Ya Fasihi
- Utumizi Wa Lugha
- Utungaji
- Ufahamu Na Ufupisho
- Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi
- Tafsiri Na Ukalimani
How To Download Form Five Kiswahili Notes All Topics
Hapa chini ni mwongozo wa wewe kuweza kudownload notes za kiswahili kwa kidato cha tano topics zote
- Kwanza kabisa ukiwa kwenye ukrasa huu shuka chini hadi utakapo ona chati yeneye topics za kiswahili na sehemu palipoandikwa Download.
- Kisha bonyeza nrno Download kwenye topic unayotaka kuipakua.
- Baada ya kubonyesha Download PDF file la topic hiyo litaanza kudownload na kujihifadhi kwenye kifaa chako.
Notes za Kiswahili Kidato cha Tano Mada Zote PDF Free Download
Hapa chini ni orodha ya topics za somo la kiswahili kwa kidato cha 5, ili kupakua notes hizi tafadhari bonyeza kwenye kila neno Download lililopo mbele ya kila topic.
Namba MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA | Topic | Linki ya Kudownload |
1 | Matumizi Ya Sarufi | Download |
2 | Maendeleo Ya Kiswahili | Download |
3 | Maendeleo Ya Fasihi Simulizi | Download |
4 | Fasihi Kwa Ujumla Na Nadharia Ya Fasihi | Download |
5 | Utumizi Wa Lugha | Download |
6 | Utungaji | Download |
7 | Ufahamu Na Ufupisho | Download |
8 | Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi | Download |
9 | Tafsiri Na Ukalimani | Download |
Kiswahili
Kiswahili ni Lugha ya kibantu; inatumika kama lugha ya taifa au rasmi katika baadhi ya mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kama vile Tanzania, DRC, Kenya, Burundi, Rwanda na Uganda. Hadi hivi sasa lugha ya Kiswahili inakadiriwa kuzungumzwa na watu zaidi ya milioni 60 duniani kote. Mataifa mengine ya Afrika yanayozungumza Kiswahili ni pamoja na Comoro, Zambia, Malawi na Msumbiji. Kiswahili pia kinazungumzwa katika baadhi ya nchi za Kiarabu kama vile Yemen, UAE n.k
Soma Pia: