Kiswahili Kidato Cha Nne, Form Four Kiswahili Notes, Free download kiswahili notes for form four, PDF form four kiswahili, Kiswahili notes Form Four, Kiswahili grammar for form four, Kiswahili literature form 4, form four Kiswahili Notes, Karibu katika mwongozo kamili wa Kiswahili kwa wanafunzi wa Kidato cha Nne nchini Tanzania. Mwongozo huu umekusanya mada zote muhimu kulingana na mtaala wa sasa wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Kiswahili Kidato Cha Nne
Hapa chini ni ordha ya mada a kiswahili kwa kidato cha nne.Ili kupakua notes za kiswahili kwa kidato cha nne tafadhari bonyeza kwenye kila mada hapo chini;
TOPIC 1 – KUONGEZA MSAMIATI WA KISWAHILI
TOPIC 2 – UENEAJI WA KISWAHILI ENZI ZA WAINGEREZA NA BAADA YA UHURU
TOPIC 3 – UHAKIKI WA KAZI ZA FASIHI ANDISHI
TOPIC 4 – KUTUNGA KAZI ZA FASIHI ANDISHI
Mbinu za Kujifunza
Ili kufaulu vizuri katika mtihani wa mwisho:
1. Soma kwa kina vitabu teule vya fasihi
2. Fanya mazoezi mengi ya sarufi
3. Shiriki katika mijadala ya darasani
4. Andika insha za mazoezi mara kwa mara
Maandalizi ya Mitihani
Muundo wa Mtihani:
– Sehemu A: Ufahamu na Ufupisho
– Sehemu B: Sarufi na Matumizi ya Lugha
– Sehemu C: Fasihi
– Sehemu D: Uandishi wa Insha
Vitabu vya Rejea
– Kiswahili kwa Kidato cha Nne
– Kamusi ya Kiswahili Sanifu
– Vitabu teule vya fasihi vya mwaka husika
Hitimisho
Kujifunza Kiswahili kwa Kidato cha Nne kunahitaji juhudi na muda. Wanafunzi wanahimizwa kutumia rasilimali zote zinazopatikana, pamoja na mwongozo huu, ili kufaulu vizuri katika mitihani yao.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Form Four English Notes All Topics
2. Form Four Mathematics Notes All Topics