KIKOSI Yanga Vs MC Alger Leo 18 January 2025
Habri mwanasoka wa Kisiwa24, karibu tena katika kurasa hii ya kimichezo ambayo kwa kina itaenda kuangazia juu ya kikosi cha Yanga kitakachoenda kuumana na klabu ya MC Alger leo jumamosi 18/01/2025 katika mechi ya roundi ya 6 na mwisho ya michuano ya ligi ya mabingwa Afrika hatua ya makundi msimu wa 2024/205.
Ikumbukwe ya kua hii ni mechi ya marudiano baada ya mcheo wa kwanza uliozikutanisha klabu hizi za kundi A mnamo 26 November 2024 na Yanga kupoteza mchezo huo kwa kufungwa Goli 2 kwa Sifuri katika uwanja wa Stade du 5 Juillet 1962.
Mchezo huu ni mchezo wa muhimu kwa timu zote mbili kwani timu itakayoshinda mchezo huu itakua imejikatia tikeni ya kuweza kusonga mbele kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa Afrika 2025. MC Alger ili kuweza kufuzu hatua ya robo fainali inahitaji sare tu katika mchezo huu lakini kwa upandea wa Yanga ili iweze kusonga mbele inahitaji ushindi katika mchezo huu.
KIKOSI Yanga Vs MC Alger Leo 18 January 2025
Kisiwa24 Blog ni wajibu wetu kuhakikisha tunakuletea taarifa zote za muhimu kuhusu mchezo huu na hapa katika kurasa hii tunaenda kukuonyesha kikosi cha Yanga kitakachoweza kuingia uwanjani dhidi ya MC Alger. Ingawa kikosi bado hakijatangazwa tunatarajia kukiona kikosi saa moja kabla ya mchezo kuanza. Hapa ni majina ya wachezaji wa klabu ya Yanga ambao ndio watakaoenda kuunda kikosi kitakachocheza dhidi ya MC Alger.
Bakari Nondo Mwamnyeto
Ibrahim Abdallah Hamad
Stéphane Aziz Ki
Kouassi Attohoula Yao
Kennedy Musonda Jr.
Peodoh Pacôme Zouzoua
Mudathir Yahya Abbas Abasi
Nickson Clement Kibabage
Duke Ooga Abuya
Djigui Diarra
Khomeiny Abubakar
Khalid Aucho
Faridi Malik Mussa Shaha
Kibwana Ally Shomari
Clatous Chota Chama Junior
Jonas Gerard Gellard Mkude
Shekhani Ibrahim Khamis
Prince Mpumelelo Dube
Denis Daud Nkane
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Yanga vs MC Alger Leo 18 January 2025 Ni Saa ngapi?
2. MATOKEO Yanga vs MC Alger 18/01/2025
3. CV Ya Jonathan Ikangalombo Mchezaji Mpya wa Yanga
4. Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2025
5. Timu Zilizofuzu Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika 2025