KIKOSI Cha Yanga Sc vs Namungo Fc Leo 13 May 2025
Leo ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaenda kuendea huku klabu ya Yanga ikiialika klabu ya Namungo kwenye mchezo wa 27 wa mzunguko wa 2. Yanga wanakutana na Namungo baada ya muda mrefu wa map[umziko kupisha michezo ya viporo ya klabu ya Simba ya ligi kuu ya NBC msimu wa 2024/2025.
Kuelekea mchezo huo Kisiwa24 Blog tunakuletea vikosi vya timu zote 2 vitakavyoenda kumenyana leo kuanzia majira ya saa 10:15 za jioni katika uwanja wa KMC Jijini Dar es Salaam.
Soma Pia;
- Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025
- Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League 2024/2025
- Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania 2024/2025
KIKOSI Cha Yanga Sc vs Namungo Fc
Hapa chini ni kikosi cha Yanga kitakachoenda kukikabili kikosi cha Namungo leo huku wakiwa na ulazima wa kuzipata pointi 3 ili kuweza kusimama juu ya msimamo wa ligi kuu ya NBC
KIKOSI Cha Namungo Fc vs Yanga Sc