MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA
Leo ndio fainali za kombe la muungano CUP lililokua likifanyika Zanzibar. Fainali hizo zitaenda kuanza majira ya saa 19:00 za jioni kwa kuzikutanisha timu za Yanga sc vs JKU Sc.
Kuelekea mchezo huo kisiwa24 Blog tunakuletea kikosi cha Yanga Sc kitakachoenda kukipiga na na klabu ya JKU Sc kweye fainbali hiyo ya Muungano CUP kuanzia majira ya saa 07:15 za jioni;
Kikosi cha Yanga Sc vs JKU Sc leo 1 May 2025
Hapa chini ndio kikosi cha Yanga vs JKU Sc fainali za kombe la Muungano leo tarehe 1 May 2025.
MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA