MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA
KIKOSI cha Yanga SC vs Azam Fc 10 April 2025
Leo tarehe 10 April 2025 Ligi kuu ya NBC inaendea huku tukienda kushuhudia derby ya Dar ikizikutanisha miamba 2 wa ligi kuu ya NBC katika mzunguko wa pili Yanga Sc vs Azam Fc,Yanga Sc inaenda kuikabili klabu ya Azam katika uwanja wa Azam Complex Chamazi kuanzia majira ya saa 7:00 za jioni.Azam Fc kama wenyeji wa mchezo wanakutana na Yanga wakiwa na hitoria nzuri ya kushinda mechi ya kwanza kwa kuichapa Yanga goli 1 kwa 0.
Kuelekea mcheo huu Kisiwa24 Blog Tuko hapa kuweza kukujuza kikosi rasmi cha Yanga SC kitakachoenda kucheza dhidi ya Azam Fc, Yanga vs Azam FC.
Bonyeza Hapa Kutazama Kikosi Cha Azam Fc vs Yanga Sc
KIKOSI cha Yanga SC vs Azam Fc 10 April 2025
MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA