Kikosi cha Yanga SC Dhidi Ya Smba SC 8 Augosti 2024 – Ngao ya Jamii
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA TELEGRAM CHANNEL YETU
BONYEZA HAPA KUJIUNGA NA WHATSAPP CHANNEL YETU
Hapa tunakuletea listi ya wachezaji wanaotarajiwa kuwepo kwnye kikosi cha Yanga SC kinachoenda kucheza na klabu Ya wekundu wa msimbazi Simba Sc tarehe 8 Augosti 2024 kwenye michuona ya Ngao ya Jamii.
Soma Pia;
>>Ratiba ya Ngao ya Jamii 2024 | Ratiba ya Mashindano ya Ngao ya Jamii 2024/2025
Hiki hapa Kikosi Cha Yanga SC
- Djigui Diarra
- Abutwalib Mshery
- Nickson Kibabage
- Kouassi Yao
- Farid Mussa
- Dickson Job
- Bakari Mwamnyeto
- Ibrahim Abdallah
- Max Nzengeli
- Khalid Aucho
- Pacome Zouzoua
- Stephen Aziz Ki
- Mudathir Yahya
- Salum Abubakar
- Clement Mzize
- Clatous Chama
- Prince Dube
- Chadrack Boka
- Khomeiny Aboubakar
- Aziz Andabwile
- Duke Abuya
- Kennedy Musonda
- Jean Othos Baleke
Leave a Reply