Kikosi cha Yanaga Vs MC Alger 07 December 2024 Klabu Bingwa Afrika
Habari mwanamichezo wa Kisiwa24 Blog, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukuonyesha kikosi cha klabu ya yanga kitakachoenda kucheza dhidi ya MC Alger ya nchini Algeria.
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
Yanga SC imesafiri hadi Algeria kuifuata timu ya MC Alger katika michuano ya klabu bingwa Afrika kwa roundi ya pili. Yanga leo 07 December 2024 anakutana na MC Alger akiwa na maumivu ya kupoteza mchezo wa roundi ya kwanza alioucheza nyumbani katika uwacha wa Benjamini Mkapa dhidi ya Al-Hilal Sudan
Kikosi cha Yanaga Vs MC Alger 07 December 2024
Kikosi harisi kitakachocheza mchezo huu wa klabu bingwa Afrika mchezo wa hatua ya makundi kwa roundi ya pili bado hakijatangazwa, lakini hapa tunaorodha ya majina ya wachezaji walio safiri kwenda Algeria na ndio hao watakaounda kikosi cha Yanga dhidi ya MC Alger leo 07 December 2024.
Makipa
1:Djigui Diarra
2:Khomeiny Abubakar
3:Aboutwalib Mshery
Mabeki
4:Bakari Mwamnyeto
5:Dickson Job
6:Kouassi Yao
7:Kibwana Shomari
8:Ibrahim Abdallah
9:Chadrack Boka
10:Nickson Kibabage
Viungo
11:Mudathir Yahya
12:Khalid Aucho
13:Jonas Mkude
14:Duke Abuya
15:Max Nzengeli
16:Denis Nkane
17:Farid Mussa
18:Sheikhan Ibrahim
19:Pacome Zouzoua
20:Stephen Aziz Ki
21:Clatous Chama
Washambuliaji
22:Prince Dube
23:Clement Mzize
24:Jean Baleke
25:Kennedy Musonda
Kuhusu Kocha Sead Ramovic
Mjerumani Sead Ramovic anaenda kukutana na timu ya MC Alger ikiwa ndio mchezo wake wa 2 katika michuano ya klabu bingwa Afrika huku mchezo wake wa kwanza ulikua ni ule wa jijini Dar es Salaam aliopoteza dhid ya Al Hilal ya Sudan
Nafasi Ya Yanga Kwenye Kundi A Klabu Bungwa Afrika
Kaktika mchezo huu klabu ya Yanga inapaswa kuhakikisha inachukua pointi 3 muhimu ili kuanza kujitengenezea mazingira mazuri katika msimamo wa kundi A
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Cv ya Sead Ramovic Kocha Mpya wa Klabu ya Yanga
2. Ratiba Ya Mechi Zote Za Yanga Ligi Kuu Ya Nbc Msimu Wa 2024/2025
3. Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025
4. Ratiba ya Simba SC Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
5. Ratiba Ya Ligi Kuu England 2024/2025