Kikosi cha Taifa Stars Dhidi ya Ethiopia Leo Septemba 4 2024
Habari ya wakati huu mwana Habarika24, karibu tena katika website yetu, leo tumepata fursa ya kukuletea kikosi cha taifa stars kinachotarajiwa kucheza na Timu ya Taifa ya Ethiopia.Mchezo huu ni muhimu sana kwa Taifa Stars kwenye kufuzu katika michuano ya AFCON mwaka 2025.

Muda Wa kuanza Mchezo
Mchezo huu unatarajiwa kuanza kunako majira ya saa MOJA za jioni katika uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam
Kikosi cha Taifa Stars Vs Ethiopia Leo September 4, 2024
Kocha mkuu wa taifa stars ameweza kutangaza majina ya wachezaji watakao enda kushiriki mchezo wao wakufuzu michuano ya AFCON msimu wa 2025. Wachezaji hao wameitwa kutoka vilabu tofauti tofauti ili kukamilisha idadi ya wachezaji wanaohitajika.
Hapa tumeweka majina ya wachezaji kutokana na nafaSI ZAO ZA UCHEZAJI;
Magolikipa:
- Ally Salim – Simba SC
- Abdultwalib Mshery – Young Africans
- Yona Amos – Pamba SC
Mabeki:
- Lusajo Mwaikenda kutoka Azam FC
- Nathaniel Chilambo kutoka Azam FC
- Mohamed Hussein kutoka Simba SC
- Dickson Job kutoka Young Africans
- Pascal Msindo kutoka Azam FC
- Ibrahim Hamad kutoka Young Africans
- Bakari Nondo kutoka Young Africans
- Nickson Kibabage kutoka Young Africans
Nafasi ya Viungo:
- Abdulmalik Zakaria kutoka Mashujaa FC
- Adolf Mtasigwa kutoka Azam FC
- Himid Mao kutoka Tala’a El Geish, Misri
- Novatus Dismas kutoka Goztepe, Uturuki
- Mudathir Yahya kutoka Young Africans
- Hussein Semfuko kutoka Coastal Union
- Edwin Balua kutoka Simba SC
- Feisal Salim kutokja Azam FC
Washambuliaji:
- Wazir Junior Kutoka Dodoma Jiji
- Cyprian Kachwele kutoka Vancouver Whitecaps, Canada
- Clement Mzize kutoka Young Africans
- Abel Josiah kutoka TDS TFF Academy
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku