Kikosi Cha Simba vs Tabora United Leo 02/02/2025
Habari mwanamichezo wa Kisiwa24 Blog, karibu kwenye kurasa hii ya kimichezo ambayo itaenda kukupa maelezo ya kina kuhusu kikosi cha Simba SC kitakachoenda kucheza na Tabora United leo siku ya Jumapili ya tarehe 02/02/2025.
Baada ya kusimama kwa ligi kuu ya NBC jana jumamosi 01/02/2025 imerejea tena kwa mchezo wa kiporo kuchezwa kati ya Yanga vs Kagera Sugar.Leo wapenzi wa soka pia wataenda kushuhudia mchezo mwingine kati ya Simba SC vs Tabora United mchezo utakao fanyika mkoani Tabora
Mchezo wa Kwanza
Mchezo wa kwanza uliofanyika jijini Dar es Salaam Simba SC iliibuka na ushindi wa goli 3 kwa sifuri, leo n mchezo wa muhimu sana kwa klabu ya Simba kwani matokeo ya ushindi wa Yanga hapo jana yalipelekea Simba kushuka hadi nafasi ya 2 kwa pointi 2 nyuma ya Yanga mwalioko katika nafasi ya 1.
Kikosi Cha Simba vs Tabora United Leo 02/02/2025
Kisiwa24 Blog tuko hapa kuweza kukupa taarifa za kikosi kitakachoenda kucheza dhidi ya Tabora United leo. Kikosi kitatoka lisaa limoja kabla ya mchezo kuanza lakini tunatumaini kikosi hicho kitakua kama hapa chili.
- Moussa Camara
- Hussein Abel
- Ahmed Feruz
- Mohamed Hussein
- Shomari Kapombe
- David Kameta
- Edwin Balua
- Che Fondoh Malone
- Fabrice Ngoma
- Hamisi Abdallah
- Ladack Chasambi
- Mzamiru Yassin
- Willy Esomba Onana
- Freddy Michael
- Lameck Lawi
- Joshua Mutale
- Steven Dese Mukwala
- Jean Charles Ahoua
- Abdulrazack Mohamed Hamza
- Valentino Mashaka
- Augustine Okejepha
- Debora Fernandes Mavambo
- Omary Omary
- Karaboue Chamou
- Valentin Nouma
- Yusuph Kagoma
- Kelvin Kijili
- Elie Mpanzu
- Awesu Awesu
Baada ya kikosi kutoka tutakiweka hapa
Msimamo wa ligi Kuu ya NBC 2024/2025
Pos | Club | P | W | D | L | GF | Pts |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | Young Africans | 16 | 14 | 0 | 2 | 36 | 42 |
2 | Simba | 15 | 13 | 1 | 1 | 31 | 40 |
3 | Azam | 16 | 11 | 3 | 2 | 25 | 36 |
4 | Singida BS | 16 | 9 | 3 | 4 | 22 | 30 |
5 | Tabora UTD | 15 | 7 | 4 | 4 | 19 | 25 |
6 | Fountain Gate | 16 | 6 | 2 | 8 | 24 | 20 |
7 | Mashujaa | 16 | 4 | 7 | 5 | 14 | 19 |
8 | JKT Tanzania | 16 | 4 | 7 | 5 | 10 | 19 |
9 | Dodoma Jiji | 16 | 5 | 4 | 7 | 16 | 19 |
10 | KMC | 16 | 5 | 4 | 7 | 11 | 19 |
11 | Coastal Union | 16 | 4 | 6 | 6 | 16 | 18 |
12 | Namungo | 16 | 5 | 2 | 9 | 11 | 17 |
13 | Tanzania Prisons | 16 | 4 | 5 | 7 | 7 | 17 |
14 | Pamba Jiji | 16 | 2 | 6 | 8 | 7 | 12 |
15 | Kagera Sugar | 16 | 2 | 5 | 9 | 10 | 11 |
16 | KenGold | 16 | 1 | 3 | 12 | 11 | 6 |
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Ratiba Ya Mechi za Yanga Februari 2025 NBC Premier League
2. Ratiba Ligi kuu ya NBC Bara Mzunguko wa Pili 2024/2025
3. Tabora Utd vs Simba Sc Leo 2/02/2025 Saa Ngapi?