KIKOSI Cha Simba vs Coastal Union 01/02/2025
Leo Jumamosi ya tarehe 1 March 2025 ligi kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea kutimua vumbi katika uwanja wa Al Hassan Mwinyi kwa mchezo mmoja utao zikutanisha timu za Simba SC vs Coastal Union Huku mwenyeji wa mchezo huo ikiwa ni klabu ya Coastal Union.
Mchezo huu unatarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia majira ya saa 10:00 za jioni ikiwa ni mchezo wa round ya 22 kwenye michuano ya ligi kuu ya NBC msimu wa 2024/2025.
Simba Sc inaivaa Coastal Union ikiwa katika nafasi ya 2 ikiwa na pointi 51 na jumla ya michezo 20, huku wenyeji wa mchezo Coastal Union wao wanaikalibisha klabu ya Simba ikiwa katika nafasi ya 9 ya msimamo wa ligi kuu ya NBC ikiwa na jumla ya pointi 24 na jumla ya michezo 21.
KIKOSI Cha Simba vs Coastal Union
Kuleekea mchezo huu sisi Kisiwa24 Blog tutaenda kukuwekea hapa kikosi kitakachoenda kuanza katika mchezo huu. Kikosi cha Simba kitakachoenda kucheza dhidi ya Coastal Union kitatangazwa saa moja kabla ya kuanza kwa mchezo.
Hivyo basi ili kuweza kutizama kikozi hichi tafadhari rejea katika ukrasa huu wa Kikosi cha Simba SC vs Coastala Union Leo 01/02/2025 saa maoja kabla ya kuanza kwa mchezo huu hapo saa 10:00 za jioni.
Mapendekezo ya Mhariri;
1. Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025
2. Ratiba ya Nusu Fainali Samia Women Super Cup 2025
3. Vinara wa Clean Sheets NBC Premier League 2024/2025
4. Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025