MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA
Kikosi cha Simba Sc Vs Stellenbosch Fc Leo 20 April 2025
Baada ya Simba Sc kuweza kujikatia tiketi yake ya kushiriki nusu fainali za kombe la shirikisho Afrika (CAF Confederation CUP) 2024/2025, Klabu ya Simba imejiandaa vya kutosha kuweza kuwakabili wapinzani wao katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali za kombe la shirikisho Afrika Stellenbosch Fc kutokea nchini South Afrika. Mchezo huu wa nusu fainali ya kwanza utachezwa katika uwanja wa Aman Zanzibar kuanzia majira ya saa 16:00 za jioni
Kuelekea mchezo huu Kisiwa24 Blog tutakuletea hapa kikosi cha Simba Sc dhidi ya Stellenbosch Fc mara baada ya kuwekwa hadharani lisaa limoja kabla ya mchezo kuanza live kikosi cha Simba Sc vs Stellenbosch Fc leo 20 April 2025.
Kikosi cha Simba Sc Vs Stellenbosch Fc Leo 20 April 2025
MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA