KIKOSI Cha Simba sc vs Singida Black Stars 28 May 2025
Leo wekundu wa msimbazi Simba Sc kwenye uwanja wake wa nyumbani anaenda kuikalibisha klabu ya Singuda Black Stars katika mchezobwa 27 wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa msimi wa 2024/2025 ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa 2.
Mchezo huu umekuwa wa kipolo baada ya Simba kusimama kucheza mechi za ligi kuu ilibkushiriki fainali za kombe la shirikisho barani Afrika mchezo uliofanyika tarehe 25/05/2025 Mjini Zanzibar na simba kulazimishwa sare ya 1-1 na Rs Berkane na kulekea kushindwa kuwa mabingwa.
Simba inarejea kuendelea na mechi za ligi kuu ya NBC ikiwa katika nafasi ya 2 na point 69 point 4 nyama ya klabu ya Yanga inayo ongoza ligi ya NBC
Kuelekea mchezo wa leo kati ya Simba Sc vs Singida Black Stars Kisiwa24 tunakuletea kikosi cha Simba Sc kitakachoenda kuanza katika mchezo huu wa Simba Sc vs Singida Black Stars 28 May 2025.
KIKOSI Cha Simba Vs Singida Black Stars Leo 28 May 2025
Hapa chini ni kikosi cha kwanza cha wekundu wa msimbazi Simba Sc dhidi ya Singida black Stars leo 28 May 2025