KIKOSI Cha Simba Sc vs RS Berkane Leo 17 May 2025
Kikosi cha Simba Sc vs RS Berkane leo 17 May 2025, Baada ya safari ndefu ya michuano ya Kombe la shirikisho balani Afrika (CAF Confideration Cup) kwa myama Simba Sc hatimae nusu fainali ya mkondo wa kwanza imewadia. Leo tarehe 17 May 2025 klabu ya Simba itakua ugenini ikicheza mchezo wake wa kwanza wa nusu fainali dhidi ya klabu ya RS Berkane nchini Morroco katika uwanja wa Stade municipal de Berkane.
Maelezo yz Mchezo
Aina ya Mchezo: Nusu fainali CAF Confederation CUP 2024/2025
Timu: RS Berkane vs Simba Sc
Nchini: Morocco
Uwanja: Stade municipal de Berkane
Muda: 22:00 PM
Kuelekea mchezo huu unaosubiliwa kwa hamu Kisiwa24 Blog tutakuwekea hapa vikosi vya timu zote 2, Kikosi cha Simba Sc vs RS Berkane na Kikosi cha RS Berkane dhidi ya Simba Sc leo 17 May 2025 kwenye mchezo wa kwanza wa nusu fainali za kombe la shirikisho Afrika (CAF Confideretion CUP Semi Final first leg)
KIKOSI Cha Simba Sc vs RS Berkane 17 May 2025
Hapa chini ni kikosi cha myama Simba Sc kitakachocheza dhidi ya RS Berkane kwenye mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho Afrika leo 17 Mei 2025.
KIKOSI Cha RS Berkane dhidi ya Simba Sc Leo 17 May 2025
Pia hapa tutaangazia kikosi kitakachoenda kumzuia mnyama Simba kwenye mchezo wa leo wa nusu fainali
Pia Unaweza Kusoma Hii hapa