MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA
leo Alhamisi ya tarehe 08 Mei 2025 klabu ya wekundu wa msimbazi Simba inaenda kuikaribisha klabu ya Pamba Jiji katika uwanja wake wa nyumbani wa KMC Complex katika mchezobwa ligi kuu ya NBC bara.
Contents
Mchezo huu wa kiporo utaenda kuanza kunako majira ya saa 10:00 za jioni, na sisi Kisiwa24 blog kuputia ukrasa huu tunakuletea kikosi cha Simba Sc vs Pamba Jiji lakini pia tutaenda kukuonyesha kikosi cha Pamba Jiji dhidi ya Simba Sc.
Ili kuvijia vikosi vya timu zote mbili basi tembelea ukra huu ifikapo majira ya saa 3:00 za mchana lisaa limoja kabla ya kuanza kwa mchezo.
Kikosi cha Simba Sc vs Pamba Jiji leo 08 Mei 2025

Kikosi cha Pamba Jiji Dhidi ya Simba Sc Leo
Hapa chini ni kikosi cha klabu ya Pamba Jiji kitakachoenda kuikanili klabu ya Simba leo kwenye uwanja wa KMC Complex mchezo wa kipori wa ligi kuu ya NBC

MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA