MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA
Baada ya ushondi wa goli 5 kwa 1 dhidi ya Pamba Jiji mchezo wa ligi kuu ya NBC uliofanyika katika uwanja wa KMC Complex klabu ya Simba leo 11 mei 2025 itakua ugenini dhidi ya wenteji wa mchezo KMC.
Mchezo huu utafanyika kwenye uwanja wa KMC Complex kuanzia majira ya saa 10:00 za jion.Kuelekea mchezo huo Kisiwa24 Blog tunakuletea vikosi vya timu zote mbili vitakavyoenda kucheza katika mchezo huo wa ligi kuu ya NBC.
Kikosi cha Simba Sc vs KMC 11 Mei 2025
Hapa chini ni kikosi rasmi cha Simba Sc kitakachoenda kuminyana dhidi ya KMC leo 11 Mei 2025
Kikosi cha KMC vs Simba Sc 11 Mei 2025
Hapa chini ni kikosi cha KMC kitakachoenda kucheza dhidi ya klabu ya Simba leo kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC 11 Mei 2025
soma Pia
Vinara wa Clean Sheets ligi kuu ya NBC
Wafungaji bora Ligi kuu ya NBC
MATANGAZO YA KAZI
BOFYA HAPA