Baada ya ushindi wa goli 2 kwa 1 dhidi ya klabu ya Mashujaa kutoka kigoma mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa nyumbani wa klabu ya wekundu wa msimbazi Simba KMC Complex jijini Dar es Salaam leo tarehe 5 Mei 2025 Simba inawakabili tena JKT Tanzania.
Mchezo huu wa marudiano ya mzunguko wa pili wa ligi kuu ya NBC utafanyika katika uwanja wa nyumbani wa JKT Tanzania uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kuanzia majiea ya saa 10:00 za jioni.
Kuelekea mchezo huo Kisiswa24 Blog kama ilivyokua kawaida yetu tunakuletea vikosi vya timu zote 2. vikoso vitakavyoenda kuminyana katika dk 90 cha mtanange huu.
KIKOSI cha Simba Sc vs JKT Tanzania Leo 05 May 2025
Hapa chini ni kikosi cha Simba Sc dhidi ya JKT Tanzania leo 5 Mei 2025

KIKOSI cha JKT Tanzania vs Simba Sc leo 05 May 2025
Hapa chini ni kikosi cha klabu ya JKT Tanzania kitakachoenda kuwakabili Simba Sc katika mtanange huu wa roundi ya 2 katika l;igi kuu ya NBC.
Ikumkukwe ya kua mchezo wa mzunguko wa kwanza uliofanyika jiji Dra es Salaam Simba aliibuka na ushindi wa pointi 3 kwa kuchapa JKT Tanzania kwa goli 1 kwa 0.