KIKOSI Cha Simba Sc vs Gaborone United Leo 20/09/2025

Klabu ya Simba SC imewasili salama nchini Botswana tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United.

Safari hiyo imehusisha jumla ya wachezaji 22 walioteuliwa kupambana kulinda heshima na nembo ya klabu hiyo siku ya Jumamosi tarehe 20 Septemba 2025.

Hata hivyo, beki Abdulrazak Hamza hajaambatana na kikosi hicho kutokana na majeraha ya goti aliyoyapata kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga SC.

Orodha kamili ya wachezaji wa Simba SC waliokwenda Botswana kupambana na Gaborone United imewekwa hapa chini.

error: Content is protected !!