Kikosi cha Simba SC vs Al Masry Leo 2 April 2025

Kwa AJIRA Mpya Kila Siku (BOFYA HAPA)

_____________________________________

Kikosi cha Simba SC vs Al Masry Leo 2 April 2025

Kikosi cha Simba vs Al Masry leo 2 April Robo Fainal kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 (CAF Confederation Cup 2024/2025). Habari mwana Simba je unahitaji kufahamu kikosi kinachoenda kuvaana na Al Masry katika mchezo wa Robo faili hatua ya kwanza mchezo utakaofanyika katika uwanja wa Suez Inchin Misri leo tarehe 02/04/2025.

Kikosi cha Simba SC vs Al Masry Leo 2 April 2025

Makala hii itaenda kukupa orodha/listi ya kikosi cha kwanza cha Simba SC vs Al Masry kwenye mchezo wa kwanza wa hatua ya Robo fainali ya kombe la shirikisho Afrika msimu wa 2024/2025 (CAF Confederation Cup 2024/2025).

KIKOSI Cha Simba Kilichoifuata Al Masry 28 Machi 2025

Hpa chini ni majina ya wachezaj wa Simba SC walioweza kusafiri kwenda Misri ili kujenga kikosi ktakacheweza kucheza na Al Masry leo 2 April 2025.

MAKIPA
1:Moussa Camara
2:Hussein Abel
3:Ally Salim

MABEKI
4:Chamoe Karaboue
5:Mohamed Hussein
6:Shomari Kapombe
7:Abdurazack Hamza
8:Kelvin Kijili
9:Valentino Nouma
10:David Kameta

VIUNGO
11:Fabrice Ngoma
12:Yusuph Kagoma
13:Elie Mpanzu
14:Ladack Chasambi
15:Debora Fernandes
16:Awesu Awesu
17:Kibu Denis
18:Augustine Okejepha
19:Joshua Mutale
20:Jean Charles Ahoua

WASHAMBULIAJI
21: Steven Mkwala
22:Leonel Ateba

Usiache kutembelea ukrasa huu ili kujua ni wachezaji gani walioweza kuingia katika kikosi cha kwanza kwenye mchezo huu wa robo fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa mchezo wa kwanza.

Leave your thoughts

error: Content is protected !!