Kikosi cha simba kilicho safiri kuelekea TUNISIA Kombe la Shirikisho,Kikosi cha simba kilicho safiri kuelekea TUNISIA, Habari mwana Simba SC Karibu katika makala hii ya kimichezo ambayo itanda kukuonyesha orodha ya wachezaji waliosafiri kuelekea TUNISIA ili kukipiga na klabu ya CS FAXIEN kwenye mchezo wa hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika.
Kikosi cha jumla ya wachezaji 20 kimeshaondoka kuelekea Tunisia huki wakipitia Istanbul, Uturuki. Simba inaenda kuvaana na klabu ya CS FAXIEN ikiwa ni mchezo wa roundi ya 4 na mchezo wa marudiano baina ya klabu hizo 2. Mchezo wao wa kwanza ulichezwa katika uwanja wa Benjamini Mkapa na Simba iliweza kuibu na ushindi wa goli 2 kwa 1 mchezo uliochwza 15 December 2024.
Hiki Hapa Kikosi Cha Simba Kilichosafiri Kwenda TUNISIA
Hapa chini ni majina ya wachezaji walioweza kusafiri kuelekea Tunisia kuvaana na CS FAXIEN kwenye mchezo wa marudiano katika roundi 4 utakaofanyika tarehe 05 January 2025.
Walinda Mlango (Goalkeepers)
- Mouse Camera
- Hussin Abel
- Ally Salim
Safu ya Ulinzi (Defenders)
- Karaboue Chamau
- Che Malone Fondoh
- Valentin Nouma
- Abrazak Hamza
- Mohamed Hussein
- Shomari Kapombe
- Kelvin Kijili
Safu ya Viungo (Midfielders)
- Mzamiri Yasin
- Awesu Awesu
- Fabrice Ngoma
- Jean Charles Ahour
- Yusuph Kagoma
- Elie Mpanzu
- Augustine Okejepha
- Kibu Denis
- Debora Fenandes
- Ladaki Chasamba
Safu ya Ushambuliaji (Strikers)
Upande wa safu ya ushambuliaji klabu ya Simba imesafiri na
- Leonel Ateba
- Steven Mukwale
Tazama Picha Ya kikosi cha Simba SC kilichosafiri kuelekea TUNISIA ili kuivaa klabu ya CS FAXIEN kwenye mchezo muhimu wa marudiano.
Simba anakutana na klabu ya CS FAXIEN akiwa na jumla ya ponti 6 kwenye kombe la shirikisho kundi A , Ili kujiwekea mazingira mazuri ya kuendelea mbele klba ya Simba inahitaji kushionda mchezo huu kwa namna yoyote ile.
Kwenye msimamo wa kundi A kombe la shirikisho Afrika klabu ya Simba ipo katika nafasi ya 3 huku nafasi ya kwanza ikishikiliwa na F.C. Bravos do Maquis kwa pointi 6 vile vile
Hadi sasa klabu ya Simba imesha chezo michezo 3 na kushinda michezo 2 na kupoteza mchezo 1.
Mtarajio ya Mashabiki wa Klabu ya Simba
Mashabiki wengi kwa sasa wanaimani kubwa kwa timu yao hasa ukiangalia inavyofanya vizuri kwenye ligi kuu ya NBC, kwa sasa klabu ya Simba ndio inayoongoza ligi ya NBC kwa ponti 1 mbele ya watani wao Yanga SC.