KIKOSI cha Azam Fc vs Yanga Sc 10 April 2025
Leo tarehe 10 April 2025 Ligi ya NBC inaenda kutimua vumbi huku ikizikutanisha timu mbili kweny Derby ya Dar es Salaam, Azam Fc vs Yanga Sc. Wakazi na wapenzi wa soka jijini Dar es Salaam leo majira ya saa moja za usiku wanenda kuhamishia macho yao na masikio katika Dimba la Azam Complex Chamazi. Azam Fc inanda kuikaribisha Yanga Sc katika mchezo wa pili wa ligi kluu ya NBC 2024/2025 ikiwa na historia nzuri ya kuichapa Yanga goli 1 kwa 0 kwenye mchezo wa kwanza wa msimu huu uliofanyika 12/11/2024 Azam wakiwa ugenini.
Kuelekea mchezo huo wa Derby ya Dar es Salaam Azam vs Yanga Sc, Yanga vs Azam Sc, Azama dhid ya Yanga Sc Kiswa24 Blog tuko hapa kuku listi ya kikosi cha Azam vs Yanga Sc kitakachoenda kucheza leo 10 April 2025 mchezo nutakaoenda kupigwa kuanjia majira ya saa 7:00 za usiku katika uwanja wa Azam Complex Chamazi.
Bonyeza Hapa Kutazama Kikosi Cha Yanga Sc vs Azam Fc