Kesi ya Wizi na Hukumu Zake
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Kesi ya Wizi na Hukumu Zake, hukumu ya kesi za wizi, Habari za wakati huu mwana Habarika24, karibu katika makala hii fupi ambayo tutaenda kuangalia juu ya kesi za wizi na hukumu zake.
Kesi za wizi zinaweza kua na hukumu kari zaidi kutokana na aina ya wizi uliuofanyika pia hata athari za wizi huo. Hapa tunaenda kuangazia dhabu ya mtu aliye tuhumiwa na ksi ya uwizi.
Kesi ya Wizi na Hukumu Zake
Mambo yanayozingatiwa kwnye Hukumu ya Kesi ya Wizi
Hapa chini tunaenda kuangalia mambo ya msingi yanayozingatiwa katika kutoa hukumu juu ya kesi ya wizi, yapo mambo mengi yanayotumika kuhukumu kesi ya wizi hapa chini ni baadhitu ya vitu vinavyvingatiwa katika kutoa hukumu kwenye kesi ya wizi;
Aina ya Wizi Uliofanyika
Hapa hukumu ya kesi utolewa kwa kuangalia kitu kilichoibiwa kama vile pes au mali ya samani, hivyo kama uwizi uliofanyika ni mkubwa basi hata hukumu yake inayotolewa ni kubwa vilevile
Ushahidi Juu ya Wizi
Usha hidi kutok upande wa mtoa mashtaka husaidia kwa kiasi kikubwa kwenye aina ya hukumu itakayotolewa kwenye kesi ya wizi. Kama ushahidi utakua na mashiko juu ya mtuhumiwa basi hata adhabu yake inaweza kuwa kari
Thamani ya Mali Iliyoibiwa
Wizi wa vitu au fedh zenye thamani kubwa hukumu yake huwa ni kali sana inaweza kuanzia mia ka 10 na kuendelea kulingana na uthamani wa mali iliyoibiwa.
Adhabu ya Kesi ya Wizi
Kesi zautapeli zinaweza kua na hukumu ya aina nne, hapa chini tumekuwekea aina ya adhabu ambazo huweza kutolewa kwa watuhumiwa wa kesi ya utapeli
1. Kifungo cha jera
Baadhi ya kesi ya utapeli kwa kuzingatia mambo tuliyoyataja hapo juu kama aina ya utapeli, thamani ya mali iliyotapeliwa, njia ya utapeli na nia ya utapeli inaweza kupelekea kifungo cha jera kwa mstakiwa.
2. Hukumu ya Faini
Pia kwa baadhi ya kesi ya utapeli mtuhumiwa anaweza kupewa hukumu ya kulipa faini kwa aina yautapeli alioufanya.
3. Kifungo cha Nje
Pia nje ya hukumu za hapo juu pia mtuhumiwa anaweza kuhukumiwa kwa kutumikia kifungo cha nje kwa siku atakazo pangiwa.
4. Kifungo cha Jera na Faini
Mtuhumiwa wa utapeli pia naweza kupewa hukumu ya kufungwa jera kwa siku atakazopewa na hakimu pamoja na faini kulingana na aina ya utapeli alioufanya.
5. Kifungo cha Nje na Faini
Pia mtuhumiwa wa utapeli anaweza kuhukumiwa au kupewa adhabu ya kifungo cha nje na kulipa faini kwa mstaki kutokana na kosa na utapeli alilolifanya.
Hitimisho
Kesi ya utaprli inaingia katika kundi la kesi za jinai na hukumu yake huweza kuchutolewa mahakamani na inaweza kua na adhabu kubwa kuliko watu wanavyofikilia.
Mapendekezo ya Mhariri;
2. Bei ya Tiketi ya Treni Kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha
3. Mshahara Wa Mwalimu wa Shule Ya Msingi
4. Mshahara Wa Mwalimu Wa Diploma Ya Sekondari
5. Viwango Vipya Vya Mishahara ya Walimu Serikalini
7. Vigezo na Sifa za Kujiunga JKT Mujibu Wa Sheria
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku