Kesi ya Utapeli na Hukumu Zake
Habari hii na nyingine nyingi zinapatikana kwenye telegram channel yetu na WhatsApp channel yetu tumia linki hapo chini kujiunga
Kesi za Utapeli na Hukumu Zake,hukumu ya kesi ya utapeli, Habari ya wakati huu mwana Habarika24 katibu katika makala hii fupi ambayo kwa kina tutaenda angazia juu ya kesi ya utapeli na hukumu zake.
Kesi ya Utapeli na Hukumu Zake
Kesi ya Utapeli
Hizi ni miongoni mwa kesi zinazo shika kasi kwa kipindi hiki katika nchi ya Tanzia watu wamekua wakitapeliwa kwa aina tofauti tofauti na vitu ya aina tofauti tofauti.
Kuna aina nyingi sana za utapeli mfano ni pamoja na
- Utapeli kwa njia ya mtandao
- Utapeli wa mali
- Utapeli wa Fodha
Kesi ya utapeli ni miongoni mwa kesi za jinai na dhabu yake hutegemea mambo mbali mbali kutoka kwa mstaki na mwendesha mashtaka.
Hukumu ya Kesi ya Utapeli
Hukumu ya kesi ya utapeli zinatofautiana kutokana na utapeli uliofanyika, lakini pia hukumu hii hutengemea zaidi mambo kadha wa kadha kama vilr;
Aina ya Utapeli uliofanyika
Hapa adhabu au hukumu ya utapeli huangalia zaidi ni njia gani ya utapeli liyofanyika na kila njia huwa na aina yake ya hukumu. mfano mshtakiwa wa kesi ya utapeli kwa njia ya mtandao uhukumiwa kwa mujibu wa sheria ya udhibiti wa matumizi ya kimtandao.
Ushahidi Juu ya Utapeli
Kesi hii pia hutolewa hudumu kwa kuzingatia aina ya ushahidi uliotolewa mbele ya mwendesha mastaka kama ushahidi unathibitisha utapeli uliofanyika basi hukumu kwa mstakiwa huchukua hatua na kama hautoi ushahidi wa kutosha basi pia mstakiwa naweza asikutwe na hatia.
Thamani ya Mali Iliyotapeliwa
Hapo pia hukumu ya kesi ya utapeli huzingatia gharama ya mali iliyotapeliwa. Mfano kama thamani ya mali iliyotapeliwa n ghari hata hukumu yake inaweza kua kubwa zaidi.
Kusudi la Utapeli
Hap hukumu ya kesi ya utapeli huangaliwa na kutolewa hukumu yake kwa kutathimini lengo na nia ya mshatkiwa kama lengo lake lilikua ni utapeli wa wazi wazi basi hukumu yake yaweza kua kubwa zaidi.
Adhabu ya Kesi za Utapeli
Kesi zautapeli zinaweza kua na hukumu ya aina nne, hapa chini tumekuwekea aina ya adhabu ambazo huweza kutolewa kwa watuhumiwa wa kesi ya utapeli
1. Kifungo cha jera
Baadhi ya kesi ya utapeli kwa kuzingatia mambo tuliyoyataja hapo juu kama aina ya utapeli, thamani ya mali iliyotapeliwa, njia ya utapeli na nia ya utapeli inaweza kupelekea kifungo cha jera kwa mstakiwa.
2. Hukumu ya Faini
Pia kwa baadhi ya kesi ya utapeli mtuhumiwa anaweza kupewa hukumu ya kulipa faini kwa aina yautapeli alioufanya.
3. Kifungo cha Nje
Pia nje ya hukumu za hapo juu pia mtuhumiwa anaweza kuhukumiwa kwa kutumikia kifungo cha nje kwa siku atakazo pangiwa.
4. Kifungo cha Jera na Faini
Mtuhumiwa wa utapeli pia naweza kupewa hukumu ya kufungwa jera kwa siku atakazopewa na hakimu pamoja na faini kulingana na aina ya utapeli alioufanya.
5. Kifungo cha Nje na Faini
Pia mtuhumiwa wa utapeli anaweza kuhukumiwa au kupewa adhabu ya kifungo cha nje na kulipa faini kwa mstaki kutokana na kosa na utapeli alilolifanya.
Hitimisho
Kesi ya utaprli inaingia katika kundi la kesi za jinai na hukumu yake huweza kuchutolewa mahakamani na inaweza kua na adhabu kubwa kuliko watu wanavyofikilia.
Mapendekezo ya Mhariri;
2. Bei ya Tiketi ya Treni Kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha
3. Mshahara Wa Mwalimu wa Shule Ya Msingi
4. Mshahara Wa Mwalimu Wa Diploma Ya Sekondari
5. Viwango Vipya Vya Mishahara ya Walimu Serikalini
7. Vigezo na Sifa za Kujiunga JKT Mujibu Wa Sheria
Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa una maswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.
Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku