MAJINA ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu cha MUHAS August 2025

Kwa AJIRA Mpya Kila Siku (BOFYA HAPA)

_____________________________________
MAJINA ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu cha MUHAS August 2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini Chuo Kikuu cha MUHAS August 2025

Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) anapenda kuwataarifu waombaji kazi mbalimbali waliofanya
usaili tarehe 19 Mei, 2025 hadi tarehe 20 Mei, 2025 kuwa majina ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Aidha, ajira zao zitakuwa rasmi pale vyeti vyao vitakapohakikiwa na kuthibitishwa na mamlaka husika.

Waombaji waliofaulu usaili watatakiwa kukamilisha taratibu mbalimbali za ajira kwa kufika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) tarehe 6, na 7 Agosti, 2025 kuanzia saa tatu kamili asubuhi wakiwa na nyaraka zilizoainishwa katika tangazo hili ili zihakikiwe kabla ya kupewa barua ya ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine pindi nafasi za kazi zitakapotangazwa. Nyaraka za kuwasilisha ni kama ifuatavyo:

(i) Vyeti halisi (Original Certificates) na nakala mbili za vyeti hivyo zilizothibitishwa na Mamlaka za kisheria (certified by Advocate/Magistrate)
vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea;

(ii) Cheti cha kuzaliwa;

(iii) Nakala ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA)

(iv) Picha ndogo tatu za rangi (three colored passport size photographs)

Share this job

Leave your thoughts

Search Job

error: Content is protected !!