Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Makala»Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Kadi ya Mwendokasi Kwa HaloPesa
Makala

Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Kadi ya Mwendokasi Kwa HaloPesa

Kisiwa24By Kisiwa24November 3, 2024No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Kadi ya Mwendokasi Kwa HaloPesa, Habari mwana habarika24 karibu katika makala hii fupi itakayokupa mwongozo wa kuweza kuongeza pesa/salio kwenye kadi yako ya malipo ya usafiri wa mwendo kasi kwa kutumi mtandao wa Halotel (HaloPesa)

Fahamu Kuhusu Wakala Wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART)

Wakala Wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) ni taasisi ya serikali iliyoundwa kwa mujibu wa Tangazo la serikali No. 120 la tarehe 25 Mei 2007 chini ya sheria No. 30 ya Wakala za Serikali ya mwaka 1997 na marekebisho yake. Jukumu kuu la DART ni kuanzisha na kuendesha mfumo wa Usafiri wa Mabasi Yaendayo katika mkoa wa Dar es Salaam.

DART  imeamua kurahisisha shuguli ya kufanya malipo kwa abiria wanaotumia usafiri wa mabasi ya mwendokasi kwa kupunguza foreni ya kukata tiketi kwa kuanzisha kadi janja ambayo itakua ikitumika katika kufanya malipo ya usafiri wa mabasi ya mwendo kasi.

Kuhusu Kadi ya Mabasi ya mwendokasi

Kadi ya mwendokasi ni kadi inayotumika kufanya malipo ya usafiri wa mabasi ya mwendokasi pale abiria anapotaka kusafiri kwa kutumia mabasi hayo. kama unahitaji maelezo zaidi kuhusu kadi ya mwendokazi kama vile upatikanaji wake na jinsi inavyofanya kati tafadhari bonyeza HAPA.

Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Kadi ya Mwendokasi Kwa HaloPesa
Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Kadi ya Mwendokasi Kwa HaloPesa

Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Kadi ya Mwendokasi Kwa HaloPesa

Ili kuweza kuongeza salio/pesa katika kadi yako ya mwendokasi baada ya salio kuisha kupitia mtandao wa simu wa Halotel (HaloPesa) unatakiwa kufuata hatua hizi hapa chini;

  1. Ingia kwenye ,menu ya HaloPesa kwa kupiga Piga *150*88#
  2. Kisha Chagua 4 – Lipa bili
  3. Kisha Chagua 5 – Malipo ya Serikali
  4. Ingiza kumbukumbu namba (Namab ya kadi ya Mwendokasi)
  5. Ingiza Kiasi unachotaka kukiweka kwenye kadi yako
  6. Ingiza Pin ya HaloPesa
  7. Bonyeza 1 ili kuthibitisha
  8. Utapokea ujumbe utakaokujulisha malipo ya muamala yanafanyiwa kazi.

Hizo hapo ndio hatua za kufuata ili kuweza kuongeza pesa kwenye kadi yako ya Mwendokasi kwa kutumia mtandao wa simu wa Halotel.

Asante kwa kusoma makala yetu hadi mwisho, ikiwa unamaswali yoyote tafadhali acha maoni hapa chini au unaweza Wasiliana nasi. Usisahau kujiunga nasi kwenye WhatsApp gropu letu kwa updates zaidi.

Jiunge na Whatsap Gropu letu kwa updates za kila siku

BONYEZA HAPA

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleFahama Jinsi Ya Kutumia Kadi Ya Mwendokasi
Next Article Jinsi Ya Kufanya Biashara Mtandaoni (Online business)
Kisiwa24

Related Posts

Makala

Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker

October 9, 2025
Makala

Jinsi ya Kuwasha Rice Cooker

October 9, 2025
Makala

Jinsi ya kupika Maharage kwenye Rice cooker

October 8, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025783 Views

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 2025547 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025445 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.