TAMISEMI: FORM FIVE SELECTION 2025/2026

_________________________________________________

MATANGAZO YA AJIRA  KILA SIKU BOFYA HAPA

_________________________________________________

NOTES ZA KIDATO CHA 1 HADI 6 BOFYA HAPA

_________________________________________________

MAGROUP MAPYA YA WHATSAAP BOFYA HAPA

_________________________________________________
MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

JINSI ya Kutuma Maombi ya Mkopo Elimu Ya Juu 2025/2026 (HESLB)

Filed in Makala, Nafasi Za Kazi Tanzania 2025 by on June 16, 2025 0 Comments

Muda wa Maombi ya Mkopo wa 2025/2026 umefungukiwa mwezi Juni, 2025 hadi Agosti, 2025.
Maombi yote ya mkopo yanatakiwa kufanywa kupitia Mfumo wa Maombi ya Mkopo na Usimamizi Mtandaoni (OLAMS).

JINSI ya Kutuma Maombi ya Mkopo Elimu Ya Juu 2025/2026 (HESLB)

Waombaji WANAHITAJI kutumia Namba ya Index ya Form Four ile ile iliyotumika wakati wa kuomba kujiunga na chuo.

Jinsi ya Kuomba Mkopo wa HESLB kupitia OLAMS

1. Hatua ya Kwanza

-Nenda moja kwa moja kwenye portal ya HESLB OLAMS: [https://olas.heslb.go.tz/]

-Kwenye ukurasa wa kwanza, bofya “Apply for Loan” (Omba Mkopo).

Hatua ya 2

-Chagua: WANAFUNZI WA NECTA kwa herufi “S”  Kwa Wanaomba ambao walifanya Mitihani ya Kidato cha Nne iliyofanywa na NECTA Tanzania au WANAFUNZI AMBAO SI WA NECTA kwa herufi “P”

Hatua ya 3

-Ingiza kwa makini taarifa zote kwenye sehemu zinazohitajika.

Hatua ya 4

-Wasilisha hati zinazohitajika kwa umbizo (format) linalotakiwa.

Hatua ya 5

-Soma kwa makini maelezo yote na uhakikishe.

Hatua ya 6

– Lipa ada ya maombi. Waombi wanatakiwa kulipa ada isiyorudishwa ya maombi ya TZS 30,000.00 kupitia GePG kwa kutumia NMB, CRDB, TPB, Vodacom M-PESA, TIGO PESA, na AIRTEL MONEY.

Hatua ya 7

-Baada ya kukamilisha mchakato wa maombi ya mkopo mtandaoni, mwombi ANAPAZA kuchapisha fomu ya maombi na Makubaliano ya Mkopo. Kisha, pata uthibitisho unaofaa, saini fomu, na ambatisha/pakia hati muhimu ikiwa ni pamoja na kurasa (namba 2 na 5) kwenye OLAMS.

MATANGO YA AJIRA BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!