Kisiwa24 BlogKisiwa24 BlogKisiwa24 Blog
  • Ligi Ya NBC
    • Ratiba Ya NBC Tanzania
    • Msimamo NBC Tanzania
  • Makala
  • Ajira Mpya
  • Michezo
  • Vyuo Vyote
    • Kozi Zitolewazo Na Vyuo
    • Ada Za Vyuo
    • Sifa za Kujiunga Na Vyuo
    • Jnsi ya Kujiunga Na Vyuo
  • Education
    • Secondary Notes
      • O’ Level Notes
        • Form One
        • Form Two
        • Form Three
        • Form Four
      • A’ Level Notes
        • Form 5
        • Form 6
    • Secondary Syllabus
      • Primary Syllabus
      • O’ Level Syllabus
      • A’ Level Syllabus
  • Technology
    • Phone Review
© 2025 Kisiwa24 Blog. All Rights Reserved.
Reading: Jinsi Ya Kutoa Pesa Kwenye ATM Ya CRDB Kupitia M-Pesa
Share
Font ResizerAa
Kisiwa24 BlogKisiwa24 Blog
Font ResizerAa
  • Ligi Ya NBC
    • Ratiba Ya NBC Tanzania
    • Msimamo NBC Tanzania
  • Makala
  • Ajira Mpya
  • Michezo
  • Vyuo Vyote
    • Kozi Zitolewazo Na Vyuo
    • Ada Za Vyuo
    • Sifa za Kujiunga Na Vyuo
    • Jnsi ya Kujiunga Na Vyuo
  • Education
    • Secondary Notes
    • Secondary Syllabus
  • Technology
    • Phone Review
  • Ligi Ya NBC
  • Makala
  • Ajira Mpya
  • Michezo
  • Vyuo Vyote
  • Education
  • Technology
© 2025 Kisiwa24 Blog. All Rights Reserved.
Home » Jinsi Ya Kutoa Pesa Kwenye ATM Ya CRDB Kupitia M-Pesa
Makala

Jinsi Ya Kutoa Pesa Kwenye ATM Ya CRDB Kupitia M-Pesa

Kisiwa24
Last updated: November 17, 2024 10:14 am
Kisiwa24
Share
SHARE
MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Jinsi Ya Kutoa Pesa Kwenye ATM Ya CRDB Kupitia M-Pesa, kutoa pesa ATM ya CRDB kwa M-Pesa

Contents
Jinsi Ya Kutoa Pesa Kwenye ATM Ya CRDB Kupitia M-PesaHitimisho

Habari ya wakati huu mwanahabarika24, karibu katika makala hii fupi itakayoenda kukupa mwongo wa namna ya unavyoweza kutoa pesa kwenye ATM za CRDB kwa kutumia M-Pesa yako.

Kama unahitaji kutoa pesa kupitia ATM ya CRDB na kwa bahati mbaya umesahau cadi yako ya ATM basi usijali kama unamtandao wa simu wa Vodacom uliyosajiliwa na M-Pesa unaweza kuitumia akaunti yako ya M-Pesa kuweza kutoa pesa kwenye ATM ya CRDB kutoka kwenye akaunti yako ya Mpesa.

Kutoa pesa kwenye ATM ya CRDB kwa kutumia M-Pesa ni njia rahisi na salama kuweza kupata fedha zako kutoka kwenye akaunti yako bila kuhitaji kadi ya benki. Kupitia huduma hii, unaweza kutoa pesa yako wakati wowote kutoka kwenye ATM za CRDB kwa kutumia simu yako ya mkononi. Katika mwongozo huu, tutaelezea hatua kwa hatua jinsi ya kufanya muamala huu.

Jinsi Ya Kutoa Pesa Kwenye ATM Ya CRDB Kupitia M-Pesa

Hapa chini tunaenda kukuonyesha hatua zote za kufuata pale unapotaka kutoa pesa kupitia ATM za CRDB kupitia M-pesa yako

Vitu Muhimu vya Kuzingatia Kabla ya Kuanza Mchakato

Hapa chini ni mambo muhimu ya kuzingatia unapotaka kutoa pesa kutoka akaunti yako ya M-Pesa kupitia ATM ya CRDB

  • Kuwa na akaunti laini ya Vodacom iliyosajiliwa na M-Pesa
  • Akaunti yako ya M-pesa iwe na kiwango cha pesa unachihitaji kutoa
  • Kuwa karibu na ATM ya CRDB kwani mchakato huu hufanyika ndani ya dk 5
  • Kuwa na simu yako ya mkononi pamoja nawe na iwe na laini hiyo ya vodacom iliyosajiliwa na M-Pesa
  • Kuhakikisha una mtandao wa Vodacom

Hatua za Kufuata ili kutoa pesa kutoka ATM ya CRDB kupitia M-pesa

1. Anza Muamala kwenye Simu Yako

Ukiwa kwenye simu yako ndani ya chumba cha ATM ya CRDB fuata hatua zifuatazo

  • Fungua simu yako
  • Ingia kwenye menyu ya M-Pesa kwa kupiga *150*00#
  • Chagua “Toa Pesa”
  • Ingiza namaba ya wakala ya CRDB amabyo ni 999999
  • Kisha ingiza kiasi unachitaka kutoa
  • Ingiza namba ya siri ya M-pesa
  • Kisha utapokea ujumbe wenye tarakimu 6 (tarakimu hizi hudumu ndani ya dakika 5 tu)

2. Kwenye ATM ya CRDB

Baada ya kufanya mwamala kutoka kwenye M-Pesa yako kupitia simu yako na kutumiwa msimbo wenye tarakimu 6 sasa fanya hatua zifuatazo kwenye ATM ya CRDB

  • Bonyeza kitufe cha M-PESA kinachoonekana kwenye skrini ya ATM ya CRDB
  • Kisha ingiza msimbo wa namba ulizotumiwa kwenye simu yako, hakikisha unaingiza tarakimu sahihi
  • Weka namba ya simu ya M-Pesa uliyoitumia kutoa pesa
  • Chagua kiasi unachotaka kutoa
  • Thibitisha kutoa fedha
  • Hadi hapo utakua umetoa pesa kutoka akaunti yako ya M-Pesa kupitia ATM ya CRDB

Kwa maelezo zaidi unaweza tembelea tovuti rasmi ya CRBD Bank

Hitimisho

Njia hii inamsaidia mtu mwenye pesa katika akaunti yake ya M-pesa na nahitaji kutoa pesa hiyo lakini mahali alipo hakuna wakala wa M-Pesa anaweza kutumia ATM ya CRDB iliyop[o karibu yake kuweza kutoa pesa zake.

Mapendekezo Ya Mhariri;

1. Jinsi Ya Kukata Tiketi Ya Basi Mtandaoni

2. Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania

3. Jinsi Ya Kulipia King’amuzi Cha Azam Tv

4. Jinsi Ya Kuangalia Salio La NSSF Kwa Njia ya Simu

5. Jinsi Ya Kufanya Biashara Mtandaoni

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

You Might Also Like

Mwongozo wa Bei ya Madini ya Silver Tanzania 2025

Wasifu wa Brian Deacon Aliyecheza Movie ya Yesu

Shule za Sekondari za Advance Mkoa wa Rukwa

Sifa Za Kujiunga Na Chuo Kikuu Cha UDSM 2025/2026

Jinsi ya Kupata Cheti cha Kuzaliwa Kwa Mtu Mzima 2025

Share This Article
Facebook Whatsapp Whatsapp Telegram Copy Link Print
What do you think?
Love0
Happy0
Joy0
Sad0
Previous Article Tanzania Vs Ethiopia Kufudhu AFCON Leo 16-12-2024 Tanzania Vs Ethiopia Kufudhu AFCON Leo 16-12-2024
Next Article Sifa Za Kujiunga Na Chuo cha ardhi Tabora ARITA Sifa Za Kujiunga Na Chuo cha ardhi Tabora ARITA 2024/2025
Leave a review

Leave a Review Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Please select a rating!

banner banner
Kwa Matangazo ya Ajira Mpya 2025
Je unatafuta kazi? basi kutazama nafasi mpya za kazi zinazitoka kila siku bonyeza BUTTON hapo chini
Bofya HAPA

Latest News

Mabasi Ya Dar To Morogoro
Mabasi Ya Dar To Morogoro
Makala
NECTA Matokeo ya Kidato cha Sita 20252026 Mkoa wa Kagera
NECTA Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026 Mkoa wa Kagera
NECTA Form Six Results 2025/2026
Nauli ya Basi Dar Es Salaam kwenda Morogoro
Nauli ya Basi Dar to Morogoro
Kampuza za Mabasi na Nauli zake
Nauli ya Boti Dar es Salaam Kwenda Zanzibar
Nauli ya Boti Dar es Salaam Kwenda Zanzibar
Makala
Matokeo ya Kidato cha Sita 20252026 Mkoa wa Kigoma
NECTA Matokeo ya Kidato cha Sita 2025/2026 Mkoa wa Kigoma
NECTA Form Six Results 2025/2026
Alama za Ufaulu Kwa Kidato cha Sita 2025
Alama za Ufaulu Kwa Kidato cha Sita 2025
Makala

You Might also Like

Mabasi ya Dar es Salaam Kwenda Musoma
Kampuza za Mabasi na Nauli zakeMakala

Mabasi ya Dar es Salaam to Musoma

Kisiwa24 Kisiwa24 5 Min Read
Orodha ya Majina Waliopata mkopo awamu ya Kwanza 2024
Makala

Orodha ya Majina Waliopata mkopo awamu ya Kwanza 2024/2025

Kisiwa24 Kisiwa24 5 Min Read

Zifahamu Sehemu Sita Muhimu Za Nyuklia ya Iran

Kisiwa24 Kisiwa24 6 Min Read
Jinsi ya Kuondoa Hofu na Wasiwasi
MakalaUncategorized

Jinsi ya Kuondoa Hofu na Wasiwasi

Kisiwa24 Kisiwa24 3 Min Read
Ada za Kutoa na Kuweka Pesa Halo Pesa
MakalaMitandao ya Simu Tanzania

Ada za Kutoa na Kuweka Pesa Halo Pesa

Kisiwa24 Kisiwa24 5 Min Read

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi La Polisi 2025

Kisiwa24 Kisiwa24 2 Min Read
Kisiwa24 BlogKisiwa24 Blog
© 2025 Kisiwa24 Blog All Rights Reserved.
adbanner