Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Makala»Jinsi Ya Kulipia Vifurushi Vya King’amuzi Cha Startimes 2025
Makala

Jinsi Ya Kulipia Vifurushi Vya King’amuzi Cha Startimes 2025

Kisiwa24By Kisiwa24May 24, 2025No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Jinsi Ya Kulipia Vifurushi Vya King’amuzi Cha Startimes 2025 , Je, umechoka kutafuta njia rahisi ya kulipia vifurushi vyako vya StarTimes? Usijali tena! Katika makala hii fupi , tutakuonyesha njia tofauti tofauti na rahisi za kulipia vifurushi vyako vya StarTimes.

Jinsi Ya Kulipia Vifurushi Vya King'amuzi Cha Startimes

Jinsi Ya Kulipia Vifurushi Vya King’amuzi Cha Startimes

Hapa chini tutaenda kuangalia njia kuu nne za kukusaidia kuweza kulipia vifurushi vya king’amuzi cha startimes;

Jinsi ya Kulipia Vifurushi Vya StarTimes Kupitia Tigo Pesa

Ikiwa wewe ni mteja wa Tigo Pesa, unaweza kufuata hatua zifuatazo ili kulipia kifurushi chako cha StarTimes kwa urahisi:

  1. Piga *150*01# kupitia simu yako.
  2. Kisha Chagua “Lipia Bili”
  3. Chagua namba 5 “King’amuzi”
  4. Chagua namba 2 “StarTimes”
  5. Weka Namba ya Smartcard yako ya StarTimes
  6. Ingiza Kiasi cha Kulipa kulingana na kifurushi chako
  7. Kisha ingiza namba ya Siri (PIN) kuthibitisha malipo
  8. Pokea Ujumbe wa Thibitisho

 

Jinsi ya Kulipia Vifurushi Vya StarTimes Kupitia M-Pesa

Kwa watumiaji wa Vodacom M-Pesa, hapa chini ni hatua za kufuata ili kuweza kukamilisha malipo

  1. Piga *150*00# kwenye simu yako (Menu ya M-Pesa)
  2. Kisha Chagua “Lipia Bili”
  3. Chagua  huduma ya “King’amuzi”
  4. Kisha Chagua “StarTimes”
  5. Ingiza Namba ya Smartcard yako ya Startimes
  6. Kisha Weka Kiasi cha malipo kulingana na kifurushi chako
  7. Weka namba ya siri ili kuthibitisha malipo
  8. Pokea ujumbe wa malipo kukamilika

Jinsi ya Kulipia Vifurushi Vya StarTimes Kupitia Airtel Money

Kwa wale wanaotumia mtandao wa Airtel (Airtel Money) hapa chini ni mwongozo wa jinsi ya kufanya malipo ya vifurushi vya Startimes;

  1. Piga *150*60# kwenye simu yako ya Airtel Money
  2. Kisha chagua “Lipia Bili”
  3. Chagua hudma ya “King’amuzi” kutoka kwenye orodha
  4. Kisha chagua “StarTimes”
  5. Weka Namba ya Smartcard yako ya Startimes
  6. Kisha Weka Kiasi unacholipia kulingana na Kifurushi Chako.
  7. Thibitisha malipo yako kwa kuweka Namba ya Siri
  8. Utapokea ujumbe wa Uthibitisho wa Malipo yako

Jinsi ya Kulipia Vifurushi Vya StarTimes Kupitia Halopesa

Pia kwa watumiaji wa mtandao wa Halotel fuata mwongozo huu kuweza kufanya malipo ya kifurushi chako cha startimes:

  1. Piga *150*88# Kwenye simu yako (Halopesa)
  2. Kisha Chagua “Lipia Bili”
  3. Chagua Huduma ya  “StarTimes”
  4. Ingiza Namba ya Smartcard yako ya Startimes
  5. Weka Kiasi Unacholipia kulingana na kifurushi chako
  6. Thibitisha malipo kwa kuweka PIN yako ya Halopesa
  7. Pokea Ujumbe wa kuthibitisha malipo yako

Kumbuka: Unaweza pia kutumia programu za benki mtandaoni kama vile CRDB, NMB, au NBC kufanya malipo.

Jinsi ya Kulipia Vifurushi Vya StarTimes Kupitia Tovuti ya StarTimes

Kwa wale wanaopenda kufanya mambo mtandaoni:

1. Tembelea tovuti rasmi ya StarTimes: www.startimes.co.tz
2. Bofya kitufe cha “Lipa Sasa”
3. Ingiza namba yako ya smart card au namba ya simu iliyosajiliwa
4. Chagua kifurushi unachotaka
5. Chagua njia ya malipo (kwa mfano, kadi ya benki au wallet ya mtandao)
6. Fuata maelekezo ya kukamilisha malipo

Jinsi ya Kulipia Vifurushi Vya StarTimes Kupitia Programu (Application) ya StarTimes ON

Kwa watumiaji wa simu janja:

1. Pakua programu ya StarTimes ON kutoka Google Play Store au App Store
2. Fungua programu na ingia katika akaunti yako
3. Bofya kitufe cha “Lipa Sasa”
4. Chagua kifurushi unachotaka
5. Fuata maelekezo ya kukamilisha malipo

Jinsi ya Kulipia Vifurushi Vya StarTimes Kupitia Ofisi za StarTimes

Kwa wale wanaopenda huduma ya ana kwa ana:

1. Tembelea ofisi ya StarTimes iliyo karibu nawe
2. Mwambie mhudumu kifurushi unachotaka
3. Lipa kwa fedha taslimu au kwa njia ya kielektroniki

Jinsi ya Kulipia Vifurushi Vya StarTimes Kupitia Wakala wa StarTimes

Kwa wale walio mbali na ofisi za StarTimes:

1. Tafuta wakala wa StarTimes aliye karibu nawe
2. Mwambie namba yako ya smart card au namba ya simu iliyosajiliwa
3. Chagua kifurushi unachotaka
4. Lipa kiasi kinachotakiwa

Soma Pia;

  • Vifurushi vya Starrtimes Na Bei Zake

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleBei ya Madini ya Almasi Tanzania 2025
Next Article Bei ya Madini ya Tanzanite Tanzania 2025
Kisiwa24

Related Posts

Makala

Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker

October 9, 2025
Makala

Jinsi ya Kuwasha Rice Cooker

October 9, 2025
Makala

Jinsi ya kupika Maharage kwenye Rice cooker

October 8, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025780 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025443 Views

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 2025441 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.