Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Makala»Jinsi Ya Kulipia King’amuzi Cha Azam Tv kwa Simu 2025
Makala

Jinsi Ya Kulipia King’amuzi Cha Azam Tv kwa Simu 2025

Kisiwa24By Kisiwa24April 25, 2025No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Jinsi Ya Kulipia King’amuzi Cha Azam Tv kupita Mitandao Ya Simu kama Airtel Airtel Money, Vodacom M-pesa, Halopesa na Tigo pesa 2024

Habari ya wakati huu ewe mtumiaji wa king’amuzi cha Azam Tv, karibu katika makala hii itakayoenda kukupa mwongo wa jinsi ya kulipia vifurushi vya king’amuzi cha Azam Tv kwa kutumia mitandao mbali mbali ya simu kama vile vodacom, Airtel, Halotel na tigo

Kisimbuzi cha Azam Tv kimeokua kisimbuzi pendwa zaidi nchini Tanzania kutokana na maudhui yanayotolewa na channel zilipo kwenye kisimbuzi hicho

Maudhui Ya Channel Za Azam Tv

Kuna maudhui ya aina mbali mbali yanayopatikana kwenye visimbuzi vya king’amuzi cha Azam Tv, Mfano wa maudhui hayo ni pamoja na;

  • Maudhui ya Michezo
  • Maudhui ya Elimu
  • Maudhui ya Kidini
  • Maudhui ya Burudani

Aina ya Visimbuzi Vya Kingamuzi Cha Azam Tv

Kuna aina kuu mbili ya visimbuzi katika king’amuzi Aazm Tv, Aina hizo ni’

  1. Kisimbuzi Cha Dishi
  2. Kisimbuzi Cha Antena

Jinsi Ya Kulipia King’amuzi Cha Azam Tv kupita Mitandao Ya Simu

Kama tuliyosema hapo awali kua katika makala hii tutaenda kuangalia jinsi ya kulipia vifurushi vya king’amuzi cha Azam Tv kwa kupitia mitandao ya simu.

Njia Za Kulipia King’amuzi Cha Azam Tv

Kuna njia mbali mbali za kuweza kulipia kifurushi chako cha Azam Tv , Miongoni mwa njia hizo ni pamoja na

  • Kulipia kwa kutumia wakala
  • Kulipia kwa kutumia mitandao ya Simu
  • Kulipia kwa njia ya Benki
  • Kulipia kwa kupiga simu Azam huduma kwa wateja
  • Kulipia kwa kutembelea ofisi ya Azam Tv

Hapa tutaenda kuangalia njia ya kulipia kingamuzi cha Azam Tv kwa kutumia mitandao ya simu

Jinsi Ya Kulipia King’amuzi Cha Azam Tv Kwa Vodacom M-Pesa

Kama wewe ni mtumiaji wa mtandao wa vodacom basi hapa chini tumekuwekea njia rahisi/hatua za kufanya ili kuweza kulipia kifurushi cha king’amuzi chako cha Azam Tv. Cha kufanya fuata hatua hizi kwa umakini zaidi

  1. Piga *150*00#
  2. Chagua Lipa kwa M-Pesa
  3. Chagua Namba 4 – Malipo ya Kampuni
  4. Chagua Namba 3 – Chagua Kwenye Orodha
  5. Chagua Namba 1 – King’amuzi
  6. Chagua Namba 5 – Azam TV
  7. Weka namba ya kadi
  8. Chagua bei ya kifurushi unachotaka
  9. Weka Namba ya Siri
  10. Bonyeza 1 kuthibitisha

Jinsi Ya Kulipia Azam Tv Kwa Airtel Money

  1. Piga *150*60#
  2. Chagua Lipa Bili
  3. Chagua “Chagua Kampuni”
  4. Chagua “TV Ving’amuzi”
  5. Chagua “Azam”
  6. Weka namba ya kadi ya Azam
  7. Weka kiasi
  8. Bonyeza 1 Kukubali
  9. Weka Pini yako

Jinsi Ya Kulipia Azam Tv Kwa Tigopesa/Mixx by YAS

  1. Piga *150*01#
  2. Chagua “Lipa Bili”
  3. Chagua “Kupata majina ya kamapuni”
  4. Chagua “King’amuzi”
  5. Chagua “Azam Pay TV”
  6. Weka Kumbukumbu Namba (Akaunti ya Azam TV)
  7. Ingiza kiasi
  8. Ingiza namba ya siri kuhakiki

Jinsi ya Kulipia King’amuzi cha Azam kwa Halotel:

  • Piga *150*88#
  • Chagua “Lipa Bili”
  • Chagua “Kifurushi cha Azam TV”
  • Weka kiasi cha malipo unachotaka kulipa
  • Ingiza Namba ya Marejeleo ya Akaunti yako ya Azam TV
  • Weka Pini yako ya Halotel
  • Bonyeza 1 ili kuthibitisha malipo

Kwa maelezo zaidi tafadhali angalia video hapa chini

Mapendekezo Ya Mhariri

1. Jinsi ya Kujiunga na Mfumo wa Maombi ya Ajira TAMISEMI

2. Jinsi ya Kupata Namba ya NIDA Kwa Simu

3. Orodha Ya Shule Za Sekondari Mkoa wa Morogoro

4. Bei ya Nauli ya Ndege kutoka Dar kwenda China

5. Mwongozo wa Kupanda Mlima Kilimanjaro

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleJinsi ya Kusajiri Kampuni Tanzania 2025
Next Article Orodha Ya Vyuo Vikuu Bora Tanzania 2025
Kisiwa24

Related Posts

Makala

Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker

October 9, 2025
Makala

Jinsi ya Kuwasha Rice Cooker

October 9, 2025
Makala

Jinsi ya kupika Maharage kwenye Rice cooker

October 8, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025777 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025439 Views

NAFASI Mpya 5476 za Mafunzo ya Ufundi Stadi Katika Fani Mbalimbali

December 6, 2025416 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.