Close Menu
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala

Subscribe to Updates

Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.

What's Hot

MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM

December 13, 2025

NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited

December 13, 2025

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

December 13, 2025
Facebook X (Twitter) Instagram
Kisiwa24Kisiwa24
  • Home
  • Ajira
  • Michezo
  • Makala
Subscribe
Kisiwa24Kisiwa24
Home»Makala»Jinsi ya Kujiunga na Mfuko wa Uwekezaji Wa UTT AMIS 2025
Makala

Jinsi ya Kujiunga na Mfuko wa Uwekezaji Wa UTT AMIS 2025

Kisiwa24By Kisiwa24July 3, 2025No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Reddit Telegram Email
Share
Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email

Jinsi ya Kujiunga na Mfuko wa Uwekezaji wa UTT AMIS, Jinsi ya Kujiunga na Akaunti ya UTT AMIS Tanzania, Jinsi ya kujiunga na UTT AMIS, UTT AMIS, Hii ni kampuni inayojihusisha na uwekezaji wa masoko ya fedha kupitia njia mbalimbali, uwekezaji wa fedha kati kampuni hii huleta faida wakati wa uuzaji wa vipande utavyonunua na kuwekeza kupitia akaunti yako ya UTT AMIS.

Jinsi ya Kujiunga na Mfuko wa Uwekezaji UTT AMIS

Jinsi ya Kujiunga na UTT AMIS

Ili kuanza kuwekeza pesa zako kwenye kampuni ya UTT AMIS itakupasa uweze kufungua akaunti. Kufungua akaunti ya UTT AMIS ni rahisi kabisa kwani unaweza kufanya hivyo kupitia simu yako ya mkononi

A) Kufungua Akaunti ya Kupitia SimImvest

Ili kufungua akaunti yako ya UTTAMIS kwa kutumia mfumo wa SimImvest tafadhari fuata hatua zifuatazo;

1. Ingia kwenye simu yako na Upinge *150*82#

2. Chagua lugha uitakayo

3. Kisha Fungua Akaunti Mpya

4. Akaunti Binafsi

5. Kisha jaza jina la muwekezaji na tarehe ukifuata mfumo wa DDMMYY

6. Kisha chagua Umiliki Binafsi

7. Kisha ingiza Jina la Mfuko, kulingana na mfuko unaohitaji kuwekeza.

8. Kisha utapokea ujumbe wa maelekezo.

9. Hadi hapo utakua tayari umesha fungua Akaunti ya uwekezaji kwenye kampuni ya UTT AMIS

B) Kujaza Fomu Ya Maombi

Baada ya kukamilisha ufunguaji wa akaunti yako na kuchagu mfuko unaotaka kuwekeza sasa itakupasa kujaza fomu ya maombi ya uwekezaji. Unaweza kuzipata form za kujiunga na UTT AMIS uwekezaji katika maeneo yafuatayo

  1. Tovuti ya UTT AMIS; www@uttamis.co.tz, kisha tuma form yako katika email ya uwekezaji@uttamis.co.tz
  2. Tawi lolote la CRDB
  3. Ofisi za UTT AMIS zilizo karibu

C) Fanya Mawasilisho ya Fomu ya Maombi

Baada ya kupata fomu ya maombi na kuijaza kikamilifu kulingana na maezo ya kwenye fomu sasa itabidi uitume form kwa uthibitisho. tuma form yako katika email ya uwekezaji@uttamis.co.tz. Hakikisha unapoituma fomu uiambatanishe na

  • picha( passport size, pamoja)
  • Pamoja na copy ya kitambulisho chako

D) Subili Majibu ya Kufunguliwa Kwa Akaunti Yako ya UTT AMIS

Ukisha tuma fomu yako na kupokelewa utasubili majibu ya kufunguliwa kwa akaunti yako na baada ya kufunguliwa kwa akaunti yako sasa utaweza kuanza uwekezaji wako kwa kununua vipande kulingana na mfuko uliouchagua wakati wa kufungua akaunti yako kupitia huduma ya SimImvest.

Faida za Kujiunga na UTT AMIS

  1. Urahisi wa Kuwekeza:
  2. Uwazi na Uwezo wa Kufuata Maendeleo
  3. Faida Shindani

Kwa maelezo zaidi unaweza kutembelea tovuti rasmi ya UTT AMIS kupitia linki – https://uttamis.co.tz/

Kwa kufuata hatua hizo hapo juu sasa utakua umeshajiunga na mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS na kuanza kufanya uwekezaji wako kwa njia rahisi kabisa zitakazoweza kukuwezesha kununua vipande vya mfuko wa UTT AMIS kulinga na jinsi ulivyo jisajili na mfuko uliouchagua.

Mapendekezo ya Mhariri;

Mwongozo wa Bei ya Vipande vya UTT AMIS 2025

Jinsi ya Kununua Vipande Vya Uwekezaji Vya UTT AMIS

Aina za Vipande Vya Mfuko wa Uwekezaji wa UTT AMIS

Free Download Squid Game Season 2 All Episode

Share. Facebook Twitter Pinterest LinkedIn Tumblr Email
Previous ArticleMwongozo wa Bei ya Vipande vya UTT AMIS 2025
Next Article Jinsi Ya Kupata Leseni Ya Biashara Online
Kisiwa24

Related Posts

Makala

Jinsi ya kupika Pilau kwenye Rice Cooker

October 9, 2025
Makala

Jinsi ya Kuwasha Rice Cooker

October 9, 2025
Makala

Jinsi ya kupika Maharage kwenye Rice cooker

October 8, 2025
Add A Comment
Leave A Reply Cancel Reply

Recent Posts

  • MAJINA Walioitwa Kazini Chuo Kikuu Cha UDSM
  • NAFASI za Kazi Equity Bank Tanzania Limited
  • NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania
  • NAFASI za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
  • NAFASI za Kazi Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania

Recent Comments

No comments to show.
Demo
Top Posts

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs

December 6, 2025783 Views

Link Za Magroup Ya WhatsApp Tanzania 2025

July 12, 2025508 Views

NAFASI za Kazi Za Mkataba Wizara Ya Maliasili Na Utalii

December 6, 2025445 Views
Stay In Touch
  • Facebook
  • YouTube
  • TikTok
  • WhatsApp
  • Twitter
  • Instagram
Latest Reviews

Subscribe to Updates

Get the latest tech news from FooBar about tech, design and biz.

Demo
© 2025 Kiswa24 Blog. Designed by Kisiwa24.

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.